Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Umri sahihi wa kupenda ni upi?Huu utoto utoto huu 23 yrs unapenda??????
Soma acha ujinga wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umri sahihi wa kupenda ni upi?Huu utoto utoto huu 23 yrs unapenda??????
Soma acha ujinga wewe
Kasema hajapiga na mimi ndipo nimeshangaa anasemaje alikuwa kwenye uhusiano na demu ambaye mwisho wa siku hata kumvua chupi?
Ha ha ha ha ha ha ha umenikumbusha mbali sana na hii ngoma. Kuna demu nilimtumia hii nilikuwa sijawahi mla halafu ananiletea pigo za kunitema. Baada ya miaka kede wa kede tukakutana majuzi hapa akiwa ameshazaa ana watoto wawili na jamaa wa kawaida sana mpiga dili kitaa.
mtumie hii dedication, asikilize maneno zaidi.
Halafu piga kimya miezi 3 asipokutafuta songa mbele...
Umri wa miaka 23 ushaanza kusononeka na mapenzi?Habar wakuu,
Mimi ni Kijana wa 23 nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania.
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kiukweli nilimpenda sana, ilikuwa ngumu kwa yeye kunikubali lakini baadaye alikubali, tumekaa kwenye mahusiano kwa miezi sita tu lakini kwangu ilikuwa ni uchungu kwani nilitumia nguvu sana kulinda mahusiano yetu.
Yeye alikuwa kama hajali kuhusu mimi, ilipofika mwezi wa kumi na moja mwaka jana akasema tuachane na ananichukulia kama kaka yake.
Kiukweli nilliumia sana, nikambembeleza sana lakini hakutaka, na mimi sikuwa na kosa na sijui kwanini aliamua hivyo.
Wakuu shida yangu ni hii, toka aniache nahisi maumivu makali moyoni mwangu kila nikimkumbuka.
Kila siku huwa namuomba turudi kama zamani lakini hataki kabisa. Mimi sijawahi kupenda before, ukweli sina nafasi kwake lakini moyo wangu unasema bado nina nafasi kwake.
Nahisi sitopendatena, pia najihisi kuwa sitapata kama yeye, japokuwa sikuwahi kufanya nae mapenzi maana mimi nimeokoka.
Naombeni ushauri, najihisi nipo isolated, najihisi maumivu mabaya sana.
Neno moja ambalo utalidharau lakini ni hili, amini ya kwamba wewe bado ni mtoto sana kwa huo umri wako, jifunze kua mgumu na kudharau yule asiyekupenda maana hata huyo akikurudia bado hautaishi nae huko mbele, acha UPUMBAVU na ufuate kilicho kupeleka chuoni, ukija pata jambo la kufanya ukubwani ukiwana 30yrs kwenda mbele utafuatwa na wanawake wazuri kuliko huyo nyang'auHabar wakuu,
Mimi ni Kijana wa 23 nipo chuo kikuu kimoja hapa Tanzania.
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja kiukweli nilimpenda sana, ilikuwa ngumu kwa yeye kunikubali lakini baadaye alikubali, tumekaa kwenye mahusiano kwa miezi sita tu lakini kwangu ilikuwa ni uchungu kwani nilitumia nguvu sana kulinda mahusiano yetu.
Yeye alikuwa kama hajali kuhusu mimi, ilipofika mwezi wa kumi na moja mwaka jana akasema tuachane na ananichukulia kama kaka yake.
Kiukweli nilliumia sana, nikambembeleza sana lakini hakutaka, na mimi sikuwa na kosa na sijui kwanini aliamua hivyo.
Wakuu shida yangu ni hii, toka aniache nahisi maumivu makali moyoni mwangu kila nikimkumbuka.
Kila siku huwa namuomba turudi kama zamani lakini hataki kabisa. Mimi sijawahi kupenda before, ukweli sina nafasi kwake lakini moyo wangu unasema bado nina nafasi kwake.
Nahisi sitopendatena, pia najihisi kuwa sitapata kama yeye, japokuwa sikuwahi kufanya nae mapenzi maana mimi nimeokoka.
Naombeni ushauri, najihisi nipo isolated, najihisi maumivu mabaya sana.
Neno moja ambalo utalidharau lakini ni hili, amini ya kwamba wewe bado ni mtoto sana kwa huo umri wako, jifunze kua mgumu na kudharau yule asiyekupenda maana hata huyo akikurudia bado hautaishi nae huko mbele, acha UPUMBAVU na ufuate kilicho kupeleka chuoni, ukija pata jambo la kufanya ukubwani ukiwana 35yrs kwenda mbele utafuatwa na wanawake wazuri kuliko huyo nyang'au , huyo hata ukija kumuoa, amini ya kwamba utakuja kua mzinzi mbaya kabisa maana utakapokua kijana wa umri wenye mafanikio, huyo atakua ameshakua BIBI na hutamtaka tena, sasa kwa sababu mnajifanyaga mko chuo nyie ni wasomi na hamuamini kama bado ninyi ni wadogo endelea, utakuja kusema baadae lugha tofautiHabar wakuu,

Hapa ndipo tatizo linapoanzia. Huna akiliNahisi sitopendatena, pia najihisi kuwa sitapata kama yeye, japokuwa sikuwahi kufanya nae mapenzi maana mimi nimeokoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ha ha ha ha ha ha ha umenikumbusha mbali sana na hii ngoma. Kuna demu nilimtumia hii nilikuwa sijawahi mla halafu ananiletea pigo za kunitema. Baada ya miaka kede wa kede tukakutana majuzi hapa akiwa ameshazaa ana watoto wawili na jamaa wa kawaida sana mpiga dili kitaa.
Tumekutana anaanza niletea story za kulana kimasihara, nikajisemea kimoyomoyo, ONA JINGA HILI.
Mwanamke nayemtaka akaniletea pozi huwa simpi nafasi ya kula hata sh. 100 yangu 😀😀😀!Dogo umenikumbusha mbali sana, nimepitia hatua kma yako. Naelewa maumivu yake. It was long time ago ila still nkumbuka the pain
Kiufupi dogo kazana na shule tafuta pesa, maana hio combination ni mbaya sana unaumizwa na hauna pesa unakua very insecure
Usiseme hautapata kama yeye, now mie nko na mama chanja wangu na enjoy maisha, yule ex namuona takataka tu siku hizi amechoka kazeeka kachakaa mpaka najiuliza nilimpendea nini nkateseka vile? Niko na mama chanja wangu full mahana hakuna ku fosi so wachana nae uyo ataishia kukutumia tu
Kuwa kaka na dada ni mtego! Mimi niliingia mkenge zamani hizo, basi akawa ananitumia tu kutimiza haja zake, mie nilidhani nikiwa namsaidia shida zake ndo atanipenda nikaishia kutumika tu
Piga chini move on