Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajilipue tuu lakini ajue kitaa kigumu sana! Afanye maamuzi sahihi asije akaja kujuta maana majuto ni mjukuuNiulize nini faida ya kufanya kazi serikalini, kama ualimu na daktari?
Kuna mwana ni mwalimu ajira mpya mwaka jana anatamani kuacha kazi mazima ila pa kuanzia sasa ndo haelewi. Anaomba ushauri cz haoni challenge yoyote ya maisha ikiwa hamna marupurupu na take home ni finyu kidogo.
Mazingira sio poa ni kijiji ndani huko, maduka mawili tu ya mpesa, benki mpaka utoe nauli ya 6k ndio unafika.
Avumilie kwa muda tu akishaa thibitishwa kazini aende achukue mzigo afanye mambo yakeNiulize nini faida ya kufanya kazi serikalini, kama ualimu na daktari?
Kuna mwana ni mwalimu ajira mpya mwaka jana anatamani kuacha kazi mazima ila pa kuanzia sasa ndo haelewi. Anaomba ushauri cz haoni challenge yoyote ya maisha ikiwa hamna marupurupu na take home ni finyu kidogo.
Mazingira sio poa ni kijiji ndani huko, maduka mawili tu ya mpesa, benki mpaka utoe nauli ya 6k ndio unafika.
Mi pia aisee☹️🤣🤣First appointment nlikua(ga) bush huko, usiku nikilala ni fisi tu nasikia wanakimbia kimbia uwanjani huku wanajichekesha......
Umeelezea madaktari na ualimu, halafu ukaelezea ualimu. Ualimu sawa , ila madaktari wana nafuu, na si kweli kazi zote serikalini hazina malipo mazuri, zipo kada wanalipwa vizuri sana.Niulize nini faida ya kufanya kazi serikalini, kama ualimu na daktari?
Kuna mwana ni mwalimu ajira mpya mwaka jana anatamani kuacha kazi mazima ila pa kuanzia sasa ndo haelewi. Anaomba ushauri cz haoni challenge yoyote ya maisha ikiwa hamna marupurupu na take home ni finyu kidogo.
Mazingira sio poa ni kijiji ndani huko, maduka mawili tu ya mpesa, benki mpaka utoe nauli ya 6k ndio unafika.
Akakomae itawezekanaAjilipue tuu lakini ajue kitaa kigumu sana! Afanye maamuzi sahihi asije akaja kujuta maana majuto ni mjukuu
Sasa huko bush watu wamaana ndio hao, walimu, manesi, polisi, mtendaji kata, halmashauri ndo vibosile kabisa 😹😹😹
Kuna dada humu nilisikia analalamika ana bahati mbaya ya kutongozwa na wanaume below standard kumbe mchawi location.Sasa huko bush watu wamaana ndio hao, walimu, manesi, polisi, mtendaji kata, halmashauri ndo vibosile kabisa 😹😹😹
Afanye hivyoEbooo
Yeye aendelee na hiyo kazi huko huko na akamate fursa ya kuuza huduma ambazo hazipatikani huko. Akiacha kazi atakuwa mzigo kwa ndugu, rafiki, na jamaa. Aache kazi akishapata kazi nyingine.Niulize nini faida ya kufanya kazi serikalini, kama ualimu na daktari?
Kuna mwana ni mwalimu ajira mpya mwaka jana anatamani kuacha kazi mazima ila pa kuanzia sasa ndo haelewi. Anaomba ushauri sababu haoni challenge yoyote ya maisha ikiwa hamna marupurupu na take home ni finyu kidogo.
Mazingira sio poa ni kijiji ndani huko, maduka mawili tu ya mpesa, benki mpaka utoe nauli ya 6k ndio unafika.
Nakumbukaga starehe ya weekend 🤣🤣🤣Mi pia aisee☹️🤣🤣
Jamii itakuwa na mawazo mgando. Kinachomshinda huyu mwalim anaishi kwa kujilinganisha na aliosoma nao au watu wake wa karibu. Anaona amechelewa.Ukiwa huna ajira utatamani nafasi ya huyu mwamba upewe wewe lakini kwa tuliotembea vijijini kuna maisha hata hiyo ajira haina maana yoyote.
Ifike wakati serikali iajili watu kutoka kwenye jamii husika wafanye kazi kwa moyo na mazingira ndio walikozaliwa hayawapi tabu
Kubebwa na baiskeli Tena!?🤭🤣🤣...mie niliponea chupuchup kuzabwa vibao na nyani ...nilikuwa na kibustani bondeni Cha figiri na Chainiz........kufika kule nakuta wamevamia kishamba Cha jirani yangu lilikuwa na njegere...si nikajifanya kuwafukuza bhana!....Weee,vikanionesha ishara ya "Utakula makofii!" Nilivyokimbia hata sielewi nilifikaje home peku🙌Nakumbukaga starehe ya weekend 🤣🤣🤣
Alikuwepo mtumishi babu mmoja ndo anakaribia kustaafu, basi kila weekend anapiga simu babuu jiandae nakuijia, ananipitia ananibeba kwenye baiskeli tunaenda mnadani bia na nyama jioni ananirudisha kwangu huu ndo mtoko wa maana 😹😹😹
Kuna kero kijijini ila raha zake ni za ukweli
Sa usafiri wa huko nini tena ndugu, ni mwendo wa baiskeli....tena wananishawishi namie nijifunze, kimoyomoyo najisemea tu mmh na utu uzima huu nije nivunje kiungo najifunza baiskeli akaaaah!!!!Kubebwa na baiskeli Tena!?🤭🤣🤣...mie niliponea chupuchup kuzabwa vibao na nyani ...nilikuwa na kibustani bondeni Cha figiri na Chainiz........kufika kule nakuta wamevamia kishamba Cha jirani yangu lilikuwa na njegere...si nikajifanya kuwafukuza bhana!....Weee,vikanionesha ishara ya "Utakula makofii!" Nilivyokimbia hata sielewi nilifikaje home peku🙌