Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Dahhh ila pwani sio mbaya sana, mie nlikua Iramba ndaniii huko yani interior Imagine Singida afu bush dahhh 😹😹😹 nikapewa shamba nilime alizeti, nkajisemea huu mtego hapa nikilima tu nimekwishaa hapa alizeti hapa mtendaji ananioa bye bye mjiniHahahahaaHa imagine hio ni Wilaya iko mbele kushoto ya Ikwiriri, unapita daraja la mkapa, unafika eneo kuna junction panaitwa Nyamwage unapinda kulia unaacha njia ya Lindi!
Miaka Ile ilikua ni bus la Kampuni ya Tokyo Takara au uende Hadi Kibiti ukifika unaenda kupanda kivuko Ndio unafika hio Nchi!