Sasa hapo mbona hajui anataka Nini?, alitegemea Nini, ninavyojua ukiamua kuwa mtu Fulani tegemea chochote kitakachokuja mbele, ni afadhali yeye ana mshahara, aangalie waliomzunguka wako na Hali gani utakuta wana Hali mbaya zaidi kuliko yy, huko ni kudeka...
Nilishawahi kwenda mahali duka ni moja tena duka lenyewe halina vitu vingi ni mafuta ya taa, dawa za miswaki, mafuta lakini Kuna wafanyakazi wa serikali walikuwa na furaha kabisa, lazima tujifunze kuadopt hamna jinsi.
Asiache kazi otherwise ajue pa kwenda hivyo kama Hana basi Akomae miaka yake then atajua Yuko wapi, mtaani Ili uishi vizuri lazima hustler kweli kweli, kama wewe siyo winner ni Bora ubaki huko huko.