Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
No stressHawezi kujua njaa inayowapata wananchi mtaani akiwa canteen ya bunge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No stressHawezi kujua njaa inayowapata wananchi mtaani akiwa canteen ya bunge.
Hiyo Iko ndani ya uwezo wetu kabisa wananchi.Hahaaa!! Siyo mwananchi wa nchi hii. Mwananchi atakuambia siwezi kuacha kumpa Zungu kura yangu nikampe Mrema (mfano tu).
Hii iwe kampeni ya taifa zima km vipi!!Hiyo Iko ndani ya uwezo wetu kabisa wananchi.
Wabunge wote waliopo tunaweza kuhakikisha wote hawarudi bungeni.
Ule umate mate wanao chukua wale matapeli ukipunguzwa kidogo tuu pesheni ikapunguzwa kwenye kulipwa wasumbuliwe kama walimu na wafanyakazi wengine wanavyo sumbuliwa na kwa kikokotoo kipya watajikata wenyewe taratibu watabaki wenye moyo wa kufanya kilicho wapeleka pale mjengoni
Shida wa kupitisha hilo ni nani??Nilishauri humu mshahara wa mbunge usizidi 5ml,
Hili likifanyika, wataingia bungeni watu serious pekee.
Nani wakupitisha sheria hiyo. Mkiambiwa ingieni barabarani muandamane mnakua wabinafsi. Acha tunyooshwe hadi kiama.Hii Iko ndani ya uwezo wetu wananchi,
Tuamue Kwa pamoja kuwa, mbunge Yeyote aliyekuwa bunge lililopita, asirudi bungeni.
Hawa watu wamebariki bandari zetu kupewa wageni.
Serikali inapoteza pesa nyingi sana kuwahudumia wale matapeli wanaovaa suti ambapo hizo pesa zingefanya mambo mengi ya maana kabisa yamejazana tuu mle ndani na hakuna jambo la msingi wanalo fanya zaidi ya kuimba mapambio ya kumsifia mama yaoNilishauri humu mshahara wa mbunge usizidi 5ml,
Hili likifanyika, wataingia bungeni watu serious pekee.
hiyo ni kuzuia, kuminya na kunyima watu uhuru na haki ya kuchagua viongozi wawatakao, lakini pia ni kutatiza haki, ndoto na vipaji hususani kwa vijana bila sababu za msingi, sizizo na maana wala mashiko, ispokua hisia dhaifu na potofu sana za kisiasa....Salaam, Shalom!!
Miaka mitano, ni muda unaotosha kabisa kutimiza kusudi na malengo na KAZI ambayo mbunge amepewa na wananchi.
Ikiwa miaka mitano pekee, ya Rais Magufuli, ilitosha kuonyesha matokeo makubwa kuliko waliokaa miaka kumi, iweje mbunge ashindwe kudeliver Kwa miaka mitano?
Kwa kuwa life expectancy imepungua, na wapo wengi wenye ndoto ya kuonyesha makubwa Kwa nafasi ya ubunge, mitano inatosha kabisa.
FAIDA ZA UKOMO WA WABUNGE.
1. RUSHWA ITAPONGUA MAJIMBONI.
Hivi tunavyoongea, wabunge vilaza wanachukua mikopo kwenye MABENKI Ili kupata pesa za kuja kuhonga wananchi maskini, pakiwepo ukomo, wananchi watakuwa salama.
2. WIMBI LA MATAJIRI WAFANYABIASHARA LITAPUNGUA KUUNGIA BUNGENI.
Hawa matajiri wafanyabiashara wenye kutupandishia Bei za mafuta na sukari, watakoma kutuhujumu pakiwa na ukomo wa ubunge.
3. DHARAU ITAPUNGUA KWA WANANCHI.
Hapa wananchi wataichagua Kila baada ya miaka mitano mtu wao Kwa Umakini mkubwa atakaowatumikia.
NB: Mbunge akitaka kuendelea Awamu ya pili, agombee Jimbo lingine.
Ushauri: Wabunge wote Walio bungeni, wapumzishwe, tupate wabunge wapya kabisa, na mchakato wa kuwapata uende mbali zaidi ya upeo na mipaka ya vyama wanavyotoka,
Nawasilisha🙏
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿. Amen



Umeambiwa kuwa ubunge ni ajira ya kudumu kwamba mtu akimaliza ubunge akiwa na miaka 29 hawezi fanya mambo mengine?hiyo ni kuzuia, kuminya na kunyima watu uhuru na haki ya kuchagua viongozi wawatakao, lakini pia ni kutatiza haki, ndoto na vipaji hususani kwa vijana bila sababu za msingi, sizizo na maana wala mashiko, ispokua hisia dhaifu na potofu sana za kisiasa....
je,
unafahamu umri unaoruhusiwa kwa mgombea nafasi ubunge kikatiba Tanzania?
na umri wa kugombea urais je, unafahamu?
na ikiwa unafahamu,
mathalani mwaka ujao wa uchaguzi ndio una umri wa miaka 21, na umechguliwa kua mbunge. baada ya miaka mitano utakua umestaafu na umri gani?
na utaruhusiwa kufanya nini tena na hiyo katiba yako, na hali ya kua umeamua kufanya kazi ya siasa na pengine ndio taaluma iliyosomea kwa muda mrefu na kwa gharama kubwa?
hakuna haja kutengeneza bomu la wana mapinduzi ya kisiasa kinyemela namna hiyo....
hata hivyo, bado ukomo wa mbunge na hata raisi, ni miaka mitano tu kikatiba, tangu mfumo wa vyama vingi kuanzishwa nchini Tanzania, hilo nalo hujui![]()
![]()
nadhani tatizo lako ni kutokua na uelewa wala ufahamu wa kutosha kuhusu ukomo wa kiutawala kwa viongozi wa kisiasa mathalani wenyeviti serikali za mitaa, madiwani, wabunge na hata raisi....Mitano inatosha,
Kukosa ukomo Kwa nafasi za kisiasa, kunaua uthubutu na ndoto za vijana, na watu wenye uwezo.

Kwenye Rasimu aliyosimamia Judge Warioba tulipendekeza ukomo wa kutogombea.nadhani tatizo lako ni kutokua na uelewa wala ufahamu wa kutosha kuhusu ukomo wa kiutawala kwa viongozi wa kisiasa mathalani wenyeviti serikali za mitaa, madiwani, wabunge na hata raisi....
mbona liko bayana sana? hata kwenye vyama vya kisiasa tu, ukicheki katiba zao utagundua, zote zina ukomo wa kipindi maalumu watu kuongoza![]()
Ukomo huo uendani na possibility ya kufukuzwa KAZI ikiwa atakiuka mkataba aliosaini na wananchi.Naona tukiwapa awamu moja tutapigwa tuchakae, mbunge anaweza asifanye chochote jimboni kwake akijua hana cha kupoteza maana anajua kabisa muhula ukiisha hatorudi tena kugombea.
mawazo na mtazamo dhaifu sana,Umeambiwa kuwa ubunge ni ajira ya kudumu kwamba mtu akimaliza ubunge akiwa na miaka 29 hawezi fanya mambo mengine?
Miaka 5 ni ukomo kikatiba Kwa nafasi Si mtu.
Tunataka uwepo ukomo wa kugombea kama ilivyo katika nafasi ya Rais.


acha upotoshaji,Kwenye Rasimu aliyosimamia Judge Warioba tulipendekeza ukomo wa kutogombea.
Tulipendekeza pia kuwa, uwepo namna ya kuwafuta KAZI wabunge wenye viburi aina ya Mwigulu

Si ubaguzi huo,mawazo na mtazamo dhaifu sana,
hata babu yako warioba aliwahi kutaka kuja na wazo na mtazamo dhaifu kama wako, wananchi tukamwambia hilo wazo lako unaweza kulitumia mahali pengine sio Tanzania...
chungulia vizuri pendekezo la wananchi kuhusu unachotaka kulazimisha kwenye rasimu ya babu warioba itaelewa vizuri na itakusaidia sana liongeza uelewa na ufahamu juu ya mambo haya![]()
![]()
leo unamzuia aliesomea siasa asifanye siasa kikatiba, kesho utaelekea kumzuia mwalimu au daktari nae awe na ukomo wa kufanya ualimu au udaktari wake, hutaishia hapo dhambi hii itaendelea kwa wakulima, wafugaji n.k na kwamba waache wanachokifanya wapishe wengine kikatiba![]()