Ushauri: Biashara gani ya kufanya kwa mtaji wa Tsh milioni 2

Anza na mtaji wa laki sita Hadi nane chukua dagaa Mwanza peleka Mpanda baada ya miezi 4 nitafute unipe shukurani zangu.
Mkuu kwema, naona watu wengi wanapeleka dagaa na furu huko mpanda kutoka visiwani huku ila ni wagumu wa kutoa connection kabisa, kama hutojali ongeza nyama kidogo nikichukua mzigo naupeleka mpanda sehemu gani? Natamani kufanya biashara huko. Thanks in advance.
 
Anzisha danguro
 
Idea ziko nyingi, ila Zingatia eneo la biashara + Aticle za biashara 🙏
 
Nunua kiwanja tu Kiluvya, Kigamboni au Bagamoyo and subiria. Hiyo ndo the easiest kuliko uongo mwingine. That money is too small to start anything profitable long term ukweli ndo huo
Mil mbili hela nyingi sanaaaaa. Yaani hiyo kila wiki hukosi laki tano ukibet pasipo kuendekeza tamaaaa
 
Biashara ipi mkuu ulifungua
 
Utaratibu ukoje mkuu wa kuipata bajaj.. lakini pia vigezo vinavyohitajika ni vp mbali na hivyo ulivyoainisha hapo juu? Je, ni lazima uanze na 1.5m ? CMPD ni nin?
 
Nenda kwenye tawi lolote la NMB upate maelezo ya kutosha. Huyo jamaa ulie muuliza anaweza asikujibu maana mara ya mwisho kuonekana humu ilikuwa Septemba 27 mwaka jana.
Utaratibu ukoje mkuu wa kuipata bajaj.. lakini pia vigezo vinavyohitajika ni vp mbali na hivyo ulivyoainisha hapo juu? Je, ni lazime uanze na 1.5m ? CMPD ni nin?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…