MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Zingatia haya, kama mimba anayo tayari , basi nenda shule sitopisha masomo yake kwa jina la ana mimba akajifungue kwanza akimaliza atarudi, usisahau kumkana muhusika ati hujui yu wapi au alishakimbia, baada ya hapo pokeeni mahari mambo mengine yaendelee , serikali ikija itamkuta ashajufungua hivyo ni uamzi wake kurudi au hapana ila bwana ake aishi naye mbali na hapo shule .Hatuwezi kuja kusumbuliwa na serikali baadae?
Asante sana ndugu. Tutazingatia.Zingatia haya, kama mimba anayo tayari , basi nenda shule sitopisha masomo yake kwa jina la ana mimba akajifungue kwanza akimaliza atarudi, usisahau kumkana muhusika ati hujui yu wapi au alishakimbia, baada ya hapo pokeeni mahari mambo mengine yaendelee , serikali ikija itamkuta ashajufungua hivyo ni uamzi wake kurudi au hapana ila bwana ake aishi naye mbali na hapo shule .
Hii ndiyo njia rahisi ila haya mengine mtapoteza muda na pia binti mtamjaza mawazo zaidi.
[emoji1666]Asante sana ndugu. Tutazingatia.
Uzoefu unaonesha kwamba mchakato wenye Tija zaidi nzuri zaidi ni (a) Kwanza Binti mwanafunzi amtambue fika Mhusika i.e. awaambie ni nani mwanaume mhusika, halafu ndo: 1. wasilianeni kwanza na Mwanaume mhusika kama anakubali Mzigo wake, 2. Wasilianeni na Wazazi wa mwanaume mhusika na mkubaliane nini cha kufanya hususan malezi ya mimba hadi mtoto-mtarajiwa akizaliwa salama. 3. Msijaribu/Msikubali kamwe hoja ya kutoa mimba (Mnaua kitoto kisicho na hatia na hakiwezi kujitetea- Ni dhambi kubwa mno).Salamu Wana JF.
Naomba ushauri wa hatua za kuchukua katika mazingira haya.
Asanteni.
Nakazia: Kijana akikubali kwamba ni ujauzito wake na mipango yake ni kumuoa huyo binti; hakuna haja ya kupelekana Polisi.Kwa ushauli wangu,huyo hajabakwa wamependane wenyewe kinachotakiwa muwasiliane na familia ya kijana ili athibitishe kama kweli ni ujauzito wake,atakapothibitisha mumuulize, anampango gani na huyobinti kama akisema atamuowa,kuna haja ya kupelekana polisi.Lakini kama akikana,hapo ndiyo kuna haja ya kupelekana polisi
Mkuu; Ki- Sheria mtu mwenye umri wa miaka 18+ ni mtu mzima(Adult) na anawajibika binafsi kwa maamuzi na matendo yake. Kwa mantiki hiyo, huyo mwanafunzi kwa umri wake huo anapaswa awajibike binafsi kwa kujiingiza kwenye matendo yaliyopelekea yeye kupata Ujauzito. Kwa hiyo Binti atafukuzwa shule. Kijana (Kidume) atafungwa jela miaka 30.Ndio hapa tungependa kujua kisheria kipi kinahesabika kikubwa kati ya uanafunzi au utu uzima wa miaka 18
Kwa misingi ipi? Labda kama mtajipeleka wenyewe huko Serikalini.Hatuwezi kuja kusumbuliwa na serikali baadae?
Ni mwanao au? ., ila we elewa 2 kwamba alipenda mwenyewe coz vibinti vya ck hz ivyo viwanafunzi inabd wazaz wao pia wawe na uhusian mzur na watt lakn pia huyo mzaz hajamfunza maadili mazur toka mdg coz me naamin kwamb alikua hachungwi af isitoshe kuwapa watt cm wakiwa wadg ndo tatz kubwa ktk mikoa eti mtt wa la 5 anatembea na smatphone unategemea nn ka mzazSalamu Wana JF.
Naomba ushauri wa hatua za kuchukua katika mazingira haya.
Asanteni.
Hii hali ya kusema watt wenye mimb warud shule ndo haya sasa si ajabu jamaa alimwambia usiogope kwan utarudi shule.... Kwa kuhitimisha mtt wa kike ni hasaraMkuu; Ki- Sheria mtu mwenye umri wa miaka 18+ ni mtu mzima(Adult) na anawajibika binafsi kwa maamuzi na matendo yake. Kwa mantiki hiyo, huyo mwanafunzi kwa umri wake huo anapaswa awajibike binafsi kwa kujiingiza kwenye matendo yaliyopelekea yeye kupata Ujauzito. Kwa hiyo Binti atafukuzwa shule. Kijana (Kidume) atafungwa jela miaka 30.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama hajabakwa, itakua ni kiherehere chake.
Kwani hata binti mwenyewe anajua kufanya matusi ni makosa. Na vibinti vya siku izi vinavyojua baikoko kuliko hata makungwi.
Tena ndo ukute jamaaa anamuelewa, wazazi watajua hawajui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnaingilia maamzi ya watu wazima[emoji23][emoji23]ama awaruke maana vitoto vya siku hizi kinakuacha mzazi njia panda kweupee
Yuko level gan? [emoji23][emoji23][emoji23]Ndio hapa tungependa kujua kisheria kipi kinahesabika kikubwa kati ya uanafunzi au utu uzima wa miaka 18
Ni changamoto kubwa.Hii hali ya kusema watt wenye mimb warud shule ndo haya sasa si ajabu jamaa alimwambia usiogope kwan utarudi shule.... Kwa kuhitimisha mtt wa kike ni hasara
Muulizeni kwa utulivu kama anataka kusoma au kuolewa.Jibu atakalotoa bila presha ndiyo la uhakikaSalamu Wana JF.
Naomba ushauri wa hatua za kuchukua katika mazingira haya.
Asanteni.
Mkuu; Hawa viumbe ni wa Ajabu sana. Wanabadilika-badilika mno katika maamuzi yao. Hawana msimamo thabiti kamwe.Muulizeni kwa utulivu kama anataka kusoma au kuolewa.Jibu atakalotoa bila presha ndiyo la uhakika