MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Zingatia haya, kama mimba anayo tayari , basi nenda shule sitopisha masomo yake kwa jina la ana mimba akajifungue kwanza akimaliza atarudi, usisahau kumkana muhusika ati hujui yu wapi au alishakimbia, baada ya hapo pokeeni mahari mambo mengine yaendelee , serikali ikija itamkuta ashajufungua hivyo ni uamzi wake kurudi au hapana ila bwana ake aishi naye mbali na hapo shule .Hatuwezi kuja kusumbuliwa na serikali baadae?
Hii ndiyo njia rahisi ila haya mengine mtapoteza muda na pia binti mtamjaza mawazo zaidi.