Rahisi sanaa eee, okei, sihitaji kujielezea elezea kwa kila mmoja, soma na meseji za hao uliowa quote walisema nin hapo kabla? alafu sipendagi ujinga wa mtu kujifanya yeye ni victim, unakuta yeye ndio anaanza kukutukana ukimjibu basi anaanza unaona ee unaona ee mwanasheria gani huyu? hahaha i dont care najibu vyovyote ntakavyo hasa kwa mtu ambae hana heshima na wale asiowajua, ni eidha unipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu, thats simple.Mkuu mbona badala ya kujibu hoja unaanzisha personal attacks? Inaonyesha ukiwa mahakamani ni rahisi sana mtu kukushinda!! Yani kaswali kadogo tu umetoka kwenye reli!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok. Asante sana mkuu kwa kuniondolea ujinga juu ya hiyo ishu.kama una bima kubwa ambayo ni comprehensive ondoa shaka, jamaa hao wa bima ndio watakua responsible na watalipa kila kitu.
hapo kuna mawili, kwanza ni ukasanywaji wa taarifa za malalamiko hayo, unakua una option mbili, ya kwanza unapeleka malalamiko yako katika kamati ya maadili ya mawakili ambapo watamshughulikia, kumlipisha fine, kumfutia uwakili wake, kuambiwa arudishe fedha alizochukua kwako na fidia zingine au adhabu yoyote watakayo pendezwa nayo,,, option ya pili ni kumpeleka mahakamani kudai fidia nk nk.Nini kifanyike iwapo wakili wako kapewa hongo na mpinzani wako ili wakufanywe ushindwe kesi?
Asante wakili msomi.Double dealing ni tatizo kubwa sana kwa mawakili wetuhapo kuna mawili, kwanza ni ukasanywaji wa taarifa za malalamiko hayo, unakua una option mbili, ya kwanza unapeleka malalamiko yako katika kamati ya maadili ya mawakili ambapo watamshughulikia, kumlipisha fine, kumfutia uwakili wake, kuambiwa arudishe fedha alizochukua kwako na fidia zingine au adhabu yoyote watakayo pendezwa nayo,,, option ya pili ni kumpeleka mahakamani kudai fidia nk nk.
Sijui Sheria but I live the Laws.We jamaa ni mjinga sana mi sijaona hata uliposaidia pamoja na kujidai unajua sheria,hovyo kabisa wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
And believe it o not, When it comes to Law, Im the craziest MF.We jamaa ni mjinga sana mi sijaona hata uliposaidia pamoja na kujidai unajua sheria,hovyo kabisa wewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu niTag mana ndo type yakeNini kifanyike iwapo wakili wako kapewa hongo na mpinzani wako ili wakufanywe ushindwe kesi?
Ni kweli kabisa na ndo mana tukiwachana wanajidai wao ni masenior ....wana viji mikwara sema wanacheki boya na boyaAsante wakili msomi.Double dealing ni tatizo kubwa sana kwa mawakili wetu
Mbona Pter hujaelewana nae?hahahahaha safi sanaa, sikua na haja ya kukujibu hapo awali, ila nilivyoona unatukana matusi mengi nikaona, nope this is too much and i wont keep quit on these bunches of stupidity, nimekujibu kwa aina yako, how about that? know umehumia right? hahahaha,,, siwezi kupaniki kwa mtu ambae ni hopless, ila nimekujibu kwa jinsi ulivyopaswa kujibiwa, embu angalia texts zako hapo juu umetukana matusi ya aina yote.
mimi nibishane hoja za kila aina na watu ambao ni ma senior kwenye game nisipaniki nije kupaniki kwa mtu ambae ni anonymous tu hahahaah hell no.
ukileta umtaa umtaa basi tutaenda kiumtaa umtaa, maana tulitokea mitaani kabla hata ya sheria yenyewe, but we haujiulizi mbona hakuna mtu ambae hatujaelewana nae tofauti na wewe? do you think kila mtu anaweza ku entertain ujinga?... anyway sitokujibu tena, tukana unavyoweza.
Ni wa ovyo sana.Mfumo wa mahakama una rushwa sanaNi kweli kabisa na ndo mana tukiwachana wanajidai wao ni masenior ....wana viji mikwara sema wanacheki boya na boya
Tafuta Wakili ambaye ni "mpambanaji"Ni wa ovyo sana.Mfumo wa mahakama una rushwa sana
Mawakili Wapambanaji ni wachache labda Lissu tu ndo kabaki😎.....wengi ni matapeli na wana double dealTafuta Wakili ambaye ni "mpambanaji"
Nakuhakilishia ukimpata huyo ndo utaamini kua Hakuna Mkate Mgumu Mbele Ya Chai
OkayMawakili Wapambanaji ni wachache labda Lissu tu ndo kabaki😎.....wengi ni matapeli na wana double deal
We kila.za unamzodoa Jamaa wkt huna ujuacho jinga wwKmk,
Mkuu achananae chizi huyo,hahahahaha wewe una trauma, iv uko sawa kabisaa? swali ilo aliliiuliza mtu mwingine, na huyu alimjibu huyo mtu, then wewe unaliendeleza tena kwa niaba ya yule alieuliza mwanzo wee unajua yule alieuliza alikua anataka kujua nin? kwanini na wewe usiulize tu swali lako? alaf inakuaje wewe unataka kujibu humu kila sms?
sikiliza, kuna watu wana hitaji msaada na wako serius, ni kwanini huu utoto unaoufanya ktk huu uzi usipeleke ktk forums zingine? mbona kuna udaku, hoja mbali mbali nk. nenda huko.