Ushauri bure kwa Kesi yoyote ya Madai au Jinai

Ushauri bure kwa Kesi yoyote ya Madai au Jinai

Mkuu mbona badala ya kujibu hoja unaanzisha personal attacks? Inaonyesha ukiwa mahakamani ni rahisi sana mtu kukushinda!! Yani kaswali kadogo tu umetoka kwenye reli!

Sent using Jamii Forums mobile app
Rahisi sanaa eee, okei, sihitaji kujielezea elezea kwa kila mmoja, soma na meseji za hao uliowa quote walisema nin hapo kabla? alafu sipendagi ujinga wa mtu kujifanya yeye ni victim, unakuta yeye ndio anaanza kukutukana ukimjibu basi anaanza unaona ee unaona ee mwanasheria gani huyu? hahaha i dont care najibu vyovyote ntakavyo hasa kwa mtu ambae hana heshima na wale asiowajua, ni eidha unipe heshima yangu au niichukue kwa nguvu, thats simple.
 
Nini kifanyike iwapo wakili wako kapewa hongo na mpinzani wako ili wakufanywe ushindwe kesi?
 
Ngoja ni subscribe huu uzi kabisa, nina maswali mengi ya kisheria ngoja nitulie nitauliza tu

a tree is known by its fruit
 
Nini kifanyike iwapo wakili wako kapewa hongo na mpinzani wako ili wakufanywe ushindwe kesi?
hapo kuna mawili, kwanza ni ukasanywaji wa taarifa za malalamiko hayo, unakua una option mbili, ya kwanza unapeleka malalamiko yako katika kamati ya maadili ya mawakili ambapo watamshughulikia, kumlipisha fine, kumfutia uwakili wake, kuambiwa arudishe fedha alizochukua kwako na fidia zingine au adhabu yoyote watakayo pendezwa nayo,,, option ya pili ni kumpeleka mahakamani kudai fidia nk nk.
 
hapo kuna mawili, kwanza ni ukasanywaji wa taarifa za malalamiko hayo, unakua una option mbili, ya kwanza unapeleka malalamiko yako katika kamati ya maadili ya mawakili ambapo watamshughulikia, kumlipisha fine, kumfutia uwakili wake, kuambiwa arudishe fedha alizochukua kwako na fidia zingine au adhabu yoyote watakayo pendezwa nayo,,, option ya pili ni kumpeleka mahakamani kudai fidia nk nk.
Asante wakili msomi.Double dealing ni tatizo kubwa sana kwa mawakili wetu
 
As salaam alaykum wakili msomi
Nina kesi ktk baraza la ardhi la wilaya ambayo ilihukumiwa ex parte na hiyo ni ukiacha michezo ya tarehe iliyokuwa ikichezwa pale mahakamani lakini baadae hata nilipoweka wakili inaonekana na yeye alinunuliwa hakuhudhuria pamoja na kuzuia ile ex parte ya kwanza. Judgement ikatoka jamaa ameshinda.
Nikawa nasubiri copy ya Judgement ili nikate rufaa. Niliipata baada ya kupita muda wa kukata rufaa ikanikatisha tamaa sikujua kumbe nilipaswa kusaini tarehe niliyoipata na kuendelea kukata rufaa
Hata hivyo nikisoma vipengele vya Judgement naona kuna walakini. Yeye applicant kijijini anajitangazia kuwa ameshinda eneo loote
Kwa kifupi mgogoro ulihusisha takriban ekari 15 za shamba. Na eneo lililo kwenye mgogoro ni takriban ekari 4
Nilikuwa na copies za documents zifuatazo

1. Judgement
2. Decree
3. Application
4. Respondent Statement
5. Proceedings

Katika documents hizo zote hakuna sehemu imeelezwa ameshinda shamba kwa ukubwa kiasi gani ispokuwa kwenye Proceedings kuna sehemu yeye applicant kama shahidi namba 1 amenukuliwa akisema "the suitland which was tress passed by the respondent is about 4 acres only"

Tukajaribu kwenda High Court kuomba kusikilizwa tena kesi yetu mahakama jamaa akashinda kwa sababu muda ulikuwa umepita saana.

Nikarudi pale pale baraza la ardhi wilaya ili kupata tafsiri ile ya kipengelee kilichopo kwenye Proceedings. Mwenyekiti akaniambia hawezi kutoa tafsiri kutoka kwenye Proceedings tuu lazima aliangalie file loote. File likatafutwa kwa miezi 9 bila kupatikana

Akili moja ikaniambia niende kwenye shamba ni survey, nikafanya hivyo nikakuta ekari 4 zimewekewa mawe kama zimepimwa eneo jingine limeachwa hajulikani aliyepima ni nani

Katika hali kama hiyo nafanyaje ili yeye achukue hizo ekari 4 nibaki na zangu zilizobaki



Sent using Jamii Forums mobile app
 
KAMA NAMDAI MTU NIKIMPELEKA MAHAKAMANI ANAJIPANGIA KIASI CHA KULIPA HADI DENI LIISHE AU MAHAKAMA INAAMUA ALIPAJE.
 
hahahahaha safi sanaa, sikua na haja ya kukujibu hapo awali, ila nilivyoona unatukana matusi mengi nikaona, nope this is too much and i wont keep quit on these bunches of stupidity, nimekujibu kwa aina yako, how about that? know umehumia right? hahahaha,,, siwezi kupaniki kwa mtu ambae ni hopless, ila nimekujibu kwa jinsi ulivyopaswa kujibiwa, embu angalia texts zako hapo juu umetukana matusi ya aina yote.

mimi nibishane hoja za kila aina na watu ambao ni ma senior kwenye game nisipaniki nije kupaniki kwa mtu ambae ni anonymous tu hahahaah hell no.

ukileta umtaa umtaa basi tutaenda kiumtaa umtaa, maana tulitokea mitaani kabla hata ya sheria yenyewe, but we haujiulizi mbona hakuna mtu ambae hatujaelewana nae tofauti na wewe? do you think kila mtu anaweza ku entertain ujinga?... anyway sitokujibu tena, tukana unavyoweza.
Mbona Pter hujaelewana nae?

Unasema Ulitokea mtaani? Mi mbona nipo huku na sijakuona?
 
hahahahaha wewe una trauma, iv uko sawa kabisaa? swali ilo aliliiuliza mtu mwingine, na huyu alimjibu huyo mtu, then wewe unaliendeleza tena kwa niaba ya yule alieuliza mwanzo wee unajua yule alieuliza alikua anataka kujua nin? kwanini na wewe usiulize tu swali lako? alaf inakuaje wewe unataka kujibu humu kila sms?

sikiliza, kuna watu wana hitaji msaada na wako serius, ni kwanini huu utoto unaoufanya ktk huu uzi usipeleke ktk forums zingine? mbona kuna udaku, hoja mbali mbali nk. nenda huko.
Mkuu achananae chizi huyo,
 
Back
Top Bottom