USHAURI CHADEMA: Mdude Nyagali amemkosea adabu Rais Samia, mtakeni amwombe radhi

Clip hii inayomuoneesha Mdude Nyagali akiapa kutumia wembe kumnyoa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (sijui ni kwa namna gani) inaonesha kiwango cha juu cha ukosefu wa adabu wa mhusika kwa mamlaka za nchi na watu waliomzidi umri.

Kauli ya Mdude kwa Rais si tu ni ya kishenzi isiyopaswa kuvumiliwa hata na wanachadema wenyewe, bali inatoa taswira mbaya kwa chama chake, kwa nchi na kwa Rais ambaye amejipambanua kujenga demokrasia ya kistaarabu isiyokwamisha ustawi wa nchi yetu.

Ninafahamu Mbowe ni mtu mstaarabu anayejua mipaka ya demokrasia. Mbowe angekuwa kama Mdude nchi hii ingeshavurugika hivyo ninamshauri amtake Mdude amuombe radhi Rais Samia. Huo ndio itakuwa kipimo cha ukomavu wa siasa kwa chadema.
Chadema kauli hizi za kutweza utu na heshima ya kiongozi sio nzuri haswa kwa kiongozi ambaye hupendi kauli hizi,Mdude aelewe hii no Tanzania mpya ingekuwa enzi za yule jamaa sawa
 
Clip hii inayomuoneesha Mdude Nyagali akiapa kutumia wembe kumnyoa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (sijui ni kwa namna gani) inaonesha kiwango cha juu cha ukosefu wa adabu wa mhusika kwa mamlaka za nchi na watu waliomzidi umri.

Kauli ya Mdude kwa Rais si tu ni ya kishenzi isiyopaswa kuvumiliwa hata na wanachadema wenyewe, bali inatoa taswira mbaya kwa chama chake, kwa nchi na kwa Rais ambaye amejipambanua kujenga demokrasia ya kistaarabu isiyokwamisha ustawi wa nchi yetu.

Ninafahamu Mbowe ni mtu mstaarabu anayejua mipaka ya demokrasia. Mbowe angekuwa kama Mdude nchi hii ingeshavurugika hivyo ninamshauri amtake Mdude amuombe radhi Rais Samia. Huo ndio itakuwa kipimo cha ukomavu wa siasa kwa chadema.
IMG_20210704_051559_619.jpg
 
Unatetea upuuzi!! Tunahangaika tu kuwashauri inavyoonyesha matusi ni agenda kuu ya chama chenu.
Hahahahahah.

You don't know what you are doing brother.

The big problem with you is that you don't want to use your brain accidentally.

Nisikushangae sana huenda hata hujui nini maana ya tusi.
 
Kwenye siasa maneno hayo ni kawaida kama huwezi kuvumilia ukafanye kazi kanisani ... kila SAA utaambiwa haleluya!!
Kukataa katiba huku watu wakiumizwa vibaya ni jambo ovu sana! Tumeona kwa katiba hii rais akiwa juha na mwehu
anaweza kuwakomoa wananchi atakavyo... akawanyima maendeleo,akawaweka ndani,akawafilisi,akawapoteza,akawaibia,akawatishia,akawanyima haki,akawakashifu wananchi atakavyo!!
Kizazi kijacho kitashangaa tulikuwa wapumbafu kiasi gani kuruhusu haya!!! Mmtu mmoja anawafanya watu milioni 65 atakavyo???
Ajabu nikuwa bado tunamijinga inaona nisawa na niraha! Ndiomana tunataka elimuyetu ipitiwe maana imetengeneza mazuzu na manafiki meeengi sana
 
Huyo mdude mjinga na hao CDM wake wanao mshauri atukane kiasi wote waonekana wahuni,nani atapigia kura chama Cha wahuni wasio na maadili.
Kunywa maji katulie chini ya mti huna ubongo wa kutumia.
 
Huyo mdude mjinga na hao CDM wake wanao mshauri atukane kiasi wote waonekana wahuni,nani atapigia kura chama Cha wahuni wasio na maadili.
Wewe usijifanye umemwelewa Mdude zaidi ya watu wote...mambo ya kura ni complex kidogo ungeyaacha kwanza.
 
Kuwa mwanachema inahitaji uwe na faili pale mirembe,ona lissu,ona huyu naye,ona sugu, ona Mbowe na wengine ambao ni top officials wa chadema,ukiwafatilia Hawa watu utagundua mabichwa yao yaliwekwa maziwa mgando badalaya ubongo,
 
Unawezaje kuishauri silaha yako? Bunduki huwa haishauriwi na wala haina uwezo wa kufikiri, hivi hamjui kwamba Mdude ndo bunduki ya CHADEMA? Bunduki huekekezwa kwa unayeamini kuwa ni adui, na sasa CHADEMA wanaamini mama ndiye adui yao.
 
Clip hii inayomuoneesha Mdude Nyagali akiapa kutumia wembe kumnyoa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (sijui ni kwa namna gani) inaonesha kiwango cha juu cha ukosefu wa adabu wa mhusika kwa mamlaka za nchi na watu waliomzidi umri.

Kauli ya Mdude kwa Rais si tu ni ya kishenzi isiyopaswa kuvumiliwa hata na wanachadema wenyewe, bali inatoa taswira mbaya kwa chama chake, kwa nchi na kwa Rais ambaye amejipambanua kujenga demokrasia ya kistaarabu isiyokwamisha ustawi wa nchi yetu.

Ninafahamu Mbowe ni mtu mstaarabu anayejua mipaka ya demokrasia. Mbowe angekuwa kama Mdude nchi hii ingeshavurugika hivyo ninamshauri amtake Mdude amuombe radhi Rais Samia. Huo ndio itakuwa kipimo cha ukomavu wa siasa kwa chadema.

Wakati Magufuli anasema mtu asiye na hela abaki na mavi yake nyumbani, wanaccm mlimtaka awaombe msamaha watanzania? Au wanaccm mlikaa kimya maana kauli ile haikuwa ya kishenzi?
 
Siasa za kipumbavu! Asifikri serikali imelala, they are watching him shauri yake!
 
Magufuli alipokuwa anatukana wananchi kuwa wabaki na mavi yao nyumbani mliomba radhi?Au huyu Kheri James alivyokuwa anatukana Watanzania mliomba radhi?
5tfvce11.png
 
Kumwambia mtu mzima Tena mama nitakunyoa naona ka tusi atamnyoa Nini Sasa huyo kiazi mbatata yenyewe akiwa mahakamani alikuwa mpole na bible yake kumbe ni hamnazo baada ya kuachiwa anajifanya kidume loh. CDM ijifunze siasa safi na sio matusi maana Mimi nawaona ni wahuni na wataka fujo
Hivi Mdude alimnyoa wapi Magufuli kwa hiyo tafsiri mnayolazimisha? Mdude kasema wembe aliotumia kumnyoa Magufuli atatumia huo huo kumnyoa Samia. Nyie na uvccm nawaona mnakuja na matamko sijui alimaanisha nywele za kwapa, sijui za wapi!! Kwamba nahau ya kumnyoa mtu ni mpya kiasi cha kutoeleweka vema huko CCM?
 
Back
Top Bottom