USHAURI: Ewe Mhudumu wa Baa, wekeza mapema kabla ya umri kukutupa mkono

99% of barmaids are whore.
Not true.....unataka kusema kwamba kazi ya barmaids ni kuuza uchi. Vipi hawa barmaids kwenye hizi hoteli za kisasa mbona wanajielewa na wako professional.
Umalaya/Ukahaba ni tabia binafsi ya mtu sio tabia ya profession fulani ...nadhani ingekua hivyo basi hawa mameneja wa Bar wangekua wanaajiri machangudoa wale wanaojiuza barabarani.
 
Uko taifa gani?
 
Pole sana kwa kutokujua mengi. Tembea sio maghorofa.
 
Bonge la wazo
Lakini usikute umepigwa kibuyu na baamedi 🙂
 
Hakuna U professional labda hawajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…