Ushauri: Ex wangu anaomba turudiane

Nimeshindwa kwa uliyopitia,

Ila sikio la kufa halisikii dawa, Seems wewe ni sikio la kufa, hutasikia utakachoambiwa hapa,

Kutokumsikiliza mamayako akiwa hai ni kosa kubwa, then kurudi nyuma akiwa amekufa plus jitihada alizofanya ili kukuondolea hilo janga,

Basi kwa kuomba tu ushauri huu, unamkosea mama yako na hustahili hata kupewa ushauri.
 
Mkuu unanitoa machozi.....usimtaje mama yangu pls. Na kqa mdomo wake baada ya kuona nimeanza kaz aliniambia huyu mwanaume hakufai atakusumbua sana. Achana nae
 
Nakadori Kafa kaoza, hivyo ninashauri Kama ifuatavyo.

1.Ni yapi malengo yenu wewe na mstaafu mtarajiwa?Kama ni kula "Gudi taimu " uko mahali sahihi Kama ni ndoa refer case ya Mengi na Jackie.

Vinginevyo sikiliza moyo wako. Hili suala liwafikie wanaume under 40 amekosekana rijali anayejali mpaka uende kwa 53? JF hii ni fursa Ahsanteni
 
lakini pia anadai eti mimi ndo namuwezea (sijui ni fix au) na kwamba yeye ni mwanadamu anakosea....na bla bla kibao.
Unamuwezea kwa kipi?kama kweli una muwezea kwa nini alikusaliti tena ukiwa nae kingine huyo Mwanaume ana tabia tatu kwanza Mhuni,ana dharau pia si Mkweli kwako uchaguzi ni wako je utaweza kuvumilia kama utaamua kurudiana nae ni kwambie ukweli best huyo hawezi kamwe kubadilika.
 
Haha me by then nlijua kwakuwa mtu mzima angetulia na mwanzoni alitilia kweli.
Ila alipofungulia koki wee nkachoka.
Ukweli nilimpenda na ndo maana niliruhusu mahari na tukaishi pamoja na tangu tuachane seriously sio mda mrefu sana
 
Kwanza muombe sana mungu,zidisha kutoa sadaka na ufunge kwa imani...amini mungu yupo na anakupenda sana...

Hilo ni jambazi halikufai,hizo ndio tabia zake halisi hawez badirika..kumpa nafasi tena ni kukaribisha uadui kati yenu na mwisho wake utakua mbaya..

Kuendelea kumsogeza ni Eiza umuue au akuue..
Achana na jambazi hilo.
 
Asante sana kwa ushauri wako
Nitazingatia
 
Thread ifungwe mkuu Nakadori huu ushauri ulaminate kabisa usije ukapigwa na kitu kizito baadae 😁

Huu ni ukweli mtukufu
 
Samahani wewe ni kaka au ni dada?
 
Haha me by then nlijua kwakuwa mtu mzima angetulia na mwanzoni alitilia kweli.
Ila alipofungulia koki wee nkachoka.
Ukweli nilimpenda na ndo maana niliruhusu mahari na tukaishi pamoja na tangu tuachane seriously sio mda mrefu sana
Hujanijibu kwenye malengo 😀😀huyu J anatumia tunguli au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…