Na hili ndo kosa walilofanya waandishi.Hicho kitabu kinauza kweli? Mh mi sijui kama naweza kununua kitabu chenye picha yake mbele.
Bora picha ya Samia
Well said!Azidi kupumzika kwa amani.
Tuendelee kuvumila mazuri na mabaya yake yakiwekwa wazi , itachukua muda kidogo kupotea kwenye fikra za watu wengi iwe kwa wema ama ubaya. Ni kwa sababu ni kiongozi wa kipekee kuwahi kuwa kwenye nchi yetu, athari zake zitaendelea kuwa gumzo pengine itagharimu kizazi.
Kwangu mimi alikuwa kiongozi bora sana kwa nyakati zetu hizi na pengine zijazo.
Sasa hiyo legacy ndo mtaitetea kwa mitusi hivyo!?Ishiiiii Et yatafutika miaka 50 mbele.
Huwa mnaandika mkifiri Kwa kutumia makalio au?
Nani kakuambia anataka mauzo?Hao washamba hamna anayehangaika nao kwanza mauzo ya hicho kitabu yanedoda sana
Usiumize kichwa hawa ni wewe wataishia matusi tu. Ni kitabu gani ambacho matzo yake hayagoma tz? Cha mkapq aukilewe ndio marketing officer? Kuna washmba km we na mwendazake? Sisi tunakitafuta nasikia nakala zimeisha tunasubiri wa-print zingine.
Sio lazima wote tumpende.Wewe ni ibilisi mwana shetani,ni vigumu kumpenda jpm,jambazi kama wewe utampeje jpm?
Waharifu-Wahalifu.Hayo ndio yale magenge ya waharifu aliopambana nayo jpm,
Sasa yule shetani si ndiyo sifa aliyokuwa nayo hakuna kuremba! Shetani, jambazi, muuaji, mwizi waandikwe kwa sifa zao!Acha kudanganya watu wewe,ujinga wako peleka huko. Hutakiwi kuandika kitu juu ya yeyote yule bira kubalance, Rais ni Mali ya umma ni nembo ya nchi,ndio taaswira ya Taifa, huwezi kumchafua kiongozi wa nchi bira kuidharirisha na kuibagaza nchi.huwezi kuitwa rais bira taasisi ya urais kuichafua.
Kwa kosa gani wakati ushahidi upo kwqmba jitu lenu lilifuja fweza za umma na kupeleka miradi kwao!Mwaka 2030 Mungu akijalia kesi itafunguliwa na wahusika watauziwa mali zao zote.
Bira-bilaAcha kudanganya watu wewe,ujinga wako peleka huko. Hutakiwi kuandika kitu juu ya yeyote yule bira kubalance, Rais ni Mali ya umma ni nembo ya nchi,ndio taaswira ya Taifa, huwezi kumchafua kiongozi wa nchi bira kuidharirisha na kuibagaza nchi.huwezi kuitwa rais bira taasisi ya urais kuichafua.
biraUandishi una kanuni zake mkuu,na kiongozi mkuu wa nchi ni Mali ya umma,hairuhusiwi tu kila mtu akurupuke kuandika upumbavu wake bira mamlaka kuhariri kazi yake.
Kitabu hakijaandikwa ili kiuzwe au kisiuzwe sana. Akitabu kimeandikwa kuwafumbua macho waimba mapambio.Hao washamba hamna anayehangaika nao kwanza mauzo ya hicho kitabu yanedoda sana
Andika kwa kiswahili tukielewe.Acha kudanganya watu wewe,ujinga wako peleka huko. Hutakiwi kuandika kitu juu ya yeyote yule bira kubalance, Rais ni Mali ya umma ni nembo ya nchi,ndio taaswira ya Taifa, huwezi kumchafua kiongozi wa nchi bira kuidharirisha na kuibagaza nchi.huwezi kuitwa rais bira taasisi ya urais kuichafua.
Yes yupo sahihi hayafiki 50, hivi 2050 unadhani Tanzania itakua hii hii? We si unaona Nyerere kafanya makubwa lakini JPM amekuja mkasema hakuna Rais kama JPM amewahi tokea Tanzania!! So kufikia 2050 miundombinu obvious itakua mingi, pengine tumerusha satellite, tunachimba madini na mafuta wenyewe, tuna submarines n.k unadhani tutamkumbuka JPM kwa lipi Sasa?Ishiiiii Et yatafutika miaka 50 mbele.
Huwa mnaandika mkifiri Kwa kutumia makalio au?