USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

Legancy sijui ndo nini!

Au ulikusudia legacy.

Kama ni legacy basi hakuna alichofanya kidumu milele.

Yote alifanya yatafutika after 50yrs to come.

Labda mauaji ya Ben sanane
Alikuweka ngapi

USSR
 
Sema bado yupo moyoni mwako.
 
wanatakiwa kushtakiwa kama hawakupewa ridhaa ya wanafamilia kutumia picha hiyo hilo liko very clear tuachane na uchabiki uchwara.hao wazilankende wanachuki binafsi ambayo haina maana kwa taifa hili.ni upuuzi uliopitiliza na waburuzwe tu mahakama ili sheria ichukue mkondo wake.
 

Nia ya utunzi wa kitabu hicho ni ovu. Wanajaribu kumchafua shujaa. Maana tangu nchi hii ianze hakuna aliyetungiwa kitabu cha namna hiyo. Halafu linaonwa kuwa ni jambo zuri, lkn kumbe ni kuivunjia staha taasisi ya urais ambayo inapaswa kupewa heshima yake.
 
Hao washamba hamna anayehangaika nao kwanza mauzo ya hicho kitabu yanedoda sana
Nani kakuambia? Kitabu kinatafutwa kama lulu wewe unasemaje kimedoda?
Acheni watu waweke hadharani mabovu yote yanayojulikana na wewe andika mazuri yote yanayojulikana.
Ni haki yao na faida kwa taifa kufanya hivyo.
Usitake wote wawe wanafiki kama upendavyo wewe.
 
Kwani jpm Kuna zuri hata moja alifanya?
 
Kwa hiyo kwako wewe kiongozi muuaji, mporaji, mfirani ndo kiongozi bora
 
Ukiwa madalakani? kwani sasa yupo upotoshaji uliofanyika ataujibu Nani,kama nia ilikuwa kumjadili juu ya utawala wake bhasi wangetaja na Yale aliyoyafanya mikoa mingine na Yale mazuri aliyoyafanya tungejua kitabu kinawahusu watanzania.
 
U
Una uhakika.
 
Ukiwa madalakani? kwani sasa yupo upotoshaji uliofanyika ataujibu Nani,kama nia ilikuwa kumjadili juu ya utawala wake bhasi wangetaja na Yale aliyoyafanya mikoa mingine na Yale mazuri aliyoyafanya tungejua kitabu kinawahusu watanzania.

Kwani wanaoandika habari za Nyerere iwe Kwa mazuri au Mabaya huyo Nyerere yupo madarakani?
 
We jamaa wewe.....
 
Bora ada ingeachwa tu mana michango ni zaidi ya ada

Huoni hapa tumjadili yeye. Na sio Kukujadili wewe au Mimi?

Huyo alikuwa Rais, Rais ni Mali ya umma na kizazi cha Taifa kuanzia anapotawala mpaka atakapoondoka
Kile kitabu kinauzwa wahusika Wana maslai binafsi si ya umma,Kwa katiba yetu marehemu ahukumiwi hivyo kutumia picha ya marehemu kwenye biashara binafsi unapaswa kuwajibika, ili picha ya rais itumike katika shughuli binafsi ya maslai binafsi unatakiwa umuombe muhusika au familia Kwa sasa JPM ni marehemu hawezi kujibu hoja yoyote iliyoandikwa hivyo Kwa kushindwa kubalance story ya kitabu kunaondoa ualali wa matumizi ya picha ya rais katika kitabu binafsi cha kibiashara
 
Tatizo siyo hao waandishi wenye njaa bali ni mrithi wa I am The State.


Yeye ndiye anayeyabariki haya mambo ya kupambana na wafu akiamini anatenda haki.
 
Kwani wanaoandika habari za Nyerere iwe Kwa mazuri au Mabaya huyo Nyerere yupo madarakani?
Je? Kuna kitabu kilichowai kumuandika Nyerere Kwa mabaya tu, ishu hapa ili kitabu kionekane kinalenga kuielimisha jamii lazima kibalance story uzuri na ubaya wa kiongozi.

Kitabu kinauzwa wanafanya biashara inapofika mahala picha au story ya mtu inapouzwa alafu muhusika amekutaja kwa mabaya tu Ni haki yako kudai.
 

Nani ajuaye?
Ninaamini vipo hivyo vitabu.
Ungeanzisha Uzi kuulizia hivyo vitabu nafikiri wanaovijua watakutajia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…