USHAURI: Familia ya Hayati Magufuli iende Mahakamani kudai fidia ya picha iliyotumika katika kava kukitangaza kitabu cha 'I Am The State'

Hawa waandishi wa habari ndio waleee ambao Nyerere aliwaita malaya wa kisiasa kwa kingereza Mercenaries.

JPM anawaza kuwa na udhaifu wake wa kibinadamu lakini ameacha mengi sana yenye kutakiwa kuendelezwa na hawa hawa waandishi wanaopoteza akili baada ya kupewa ujira mdogo tena zikiwa pesa za matajiri wa kizungu.
 
Waende tu! Basi tufanye tu haki! kodi zetu zilizotumika kumlisha huyo mfu na kuendesha maisha ya familia yake zilipwe zote na abaki peke yake bila ya urais (public figure). Waende tu na zile kodi ambazo bado zinatumika kuendesha hiyo familia zirudi awe peke yake. Waende jana! wanasheria 50 wako tayari!
 
msumari wa utosi huu! umemaliza mkuu!
 
Naisi
Na hili ndo kosa walilofanya waandishi.
Picha ya jitu lile ni mikosi kuwa nayo nyumbani
Dawa ya moto ni moto ,kiandikwe kitabu kitachozungumzia alivyo wabana wala nchi na wakawaida wakanufaika na waandishi maslai waluvyo teseka mpaka kukimdia nchi
 
Subiri huyo anayewalinda aondoke mtajua hamjui
 
Hicho kitabu hakijaandikwa kwa utashi wa waandishi pekee wamewezeshwa na watu walioko kwenye mfumo sasa hivi kufanikisha malengo yao binafsi ya kisiasa. Hakuna 'fact' yoyote uliyoiwasilisha jukwaani hapa ambayo sio 'biased'
 
Subiri huyo anayewalinda aondoke mtajua hamjui
We are talking about a living fact na siyo uzushi na propaganda za kisiasa. Fact ni fact tu. Hakuna uhusiano na unachofikiri wewe..

Kufanya kosa la kisheria hakuhitaji hisani ya kiongozi yeyoye..

Viongozi hupita na sheria huishi mpaka mwisho wa taifa husika. Hata huyo ajaye, ataongozwa na sheria hizihizi..

Nyie mnaodhani wamevunja sheria, basi onesheni na thibitishaeni kosa lao ni nini kisheria...

Je ni kuandika juu ya utendaji kazi wa Rais kiongozi wao aliyepita na kuonesha udhaifu wake na ubaya wa mengi maamuzi enzi za utawala wake?

Hili haliwezi kuwa kosa asilani kwa sheria yoyote!!

Kama unataka na una nafasi wewe Intelligence Justice na wenzako, andikeni kitabu chenu nanyi kuonesha uzuri wake na watu watasoma tu. Kwani shida iko wapi??
 

..unakiri kuwa Magufuli alikuwa na madhaifu.

..waandishi wameyaweka madhaifu hayo ktk kitabu.

..sasa kuna tatizo gani, au waandishi wamekosea nini?

..nafasi ya kuandika mema ya Magufuli bado ipo, ninachoshangaa hawajitokezi watu kuyaandika.
 
Huyu jamaa mwenye uzi akili yako ni tope, bora ufe sababu ni mzigo usio na faida, kwani Magufuli hakukosea? Alifanya kila kitu sawa kama malaika? Acha ujinga uwe na amani
 
..unakiri kuwa Magufuli alikuwa na madhaifu.

..waandishi wameyaweka madhaifu hayo ktk kitabu.

..sasa kuna tatizo gani, au waandishi wamekosea nini?

..nafasi ya kuandika mema ya Magufuli bado ipo, ninachoshangaa hawajitokezi watu kuyaandika.
Hao walioandika madhaifu ni wale wale waliokimbia nchi tangu miaka ile na wanayo sifa ya kumpinga kila rais anayekuwa ikulu labda kwa kigezo cha uhuru wa kidemokrasia.

Kumponda mtu kwa kigezo cha Chato huku ukisahau mengi sana aliyofanya kwa ujasiri kama kufufua ATCL na kufufua bandari zote tulizonazo, ni uchawa ule ule tu usio na tofauti na ule wa kina Mwijaku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…