chimei may
Member
- Feb 14, 2022
- 81
- 93
ww acha kusema hvyoooItakuwa wakina mshana hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ww acha kusema hvyoooItakuwa wakina mshana hao
exactlyBi harusi Mkubwa aliwahi niambia usije ukasumbuka na mwanamke unaempenda afu unaona kabisa anazingua, bora uoe yule anaekupenda kwa dhati kuliko unaempenda wewe. Huyu anaekupenda unaweza kujifunza kumpenda.
Ushauri wa mzee wako wakipumbavu nimecheka balaa[emoji23][emoji23][emoji23]Bi mkubwa: hajawai nipa ushauri wowote wa maana zaid ya kunisema tu.
Mzee: aliniambia achana nao tafta maisha kwanza kama ni wako atakutafta tu siku moja atakuja(hapo baada ya kupata mtoto ) huu niliona ni ushauri wa kipumbavu sana maana ata ayo maisha aliyosema nitafte bado sijayaona.
Pole ndugu yangu yote ni mipango ya munguWenye wazazi raha sana yani..Mimi ninaimagine ningekuwa napiga story na mama yangu.
Wachaga wanashida gani kwaniMwanangu chonde chonde, epukana na wanawake wa kichagga na kipare na wale wanaojifanya ni wapenzi wa dini kwani wengi wao ni mafuska tu.
Sure kabisa yaniAliniambia duniani tunapita kuna mambo si ya kulazimisha, asiye kupenda chana nae.
Mama alikuwa anatuambia mme wako wa kwanza ni kazi yako. Ukiwa na hela zako huangaishwi na mwanammeWakuu
Binafsi Mimi wazazi wangu wote walishanipa ushauri japo ilikuwa kiutani Ila meseji ili delivery,
Kwa wakati tofauti
Father alishawahi nishauri mambo machache kuhusu mahusiano/wanawake
1.katika kabila letu LA kaskazini kule kuna watu Wa mahala Fulani kaniambia nisioe uko hata kwa kushikiwa bunduki
2.Aliniambia mwanamke asiweze kukariri ratiba zangu hasa za kurudi na kutoka muda anaofikiria hautoki we unatoka muda anaofikiria unatoka we utoki. Kama nitachelewa sana nimtarifu mapema.
3.Kama nitakuwa mlevi basi nisimkere Ila nitumie pombe zangu kumchekesha na kumbebisha
5.Nisikubali kupelekeshwa na mwanamke pia nisiwe sirias wakati wote
Kwa wakati tofauti .MAMA alinipa ushauri kadha
1. Msichana wangu awe mzuri kuanzia sura na roho yanii awee na hofu ya Mungu
2.Alinikataza kumpelekea single Moma
3.Alishawah niuliza kwanini niliachana na Ex wangu na alikuwa anavigezo alivyovitaka
4.Alinishawishi nijiweke smart hata tukienda kanisani atatumia muda mwingi kuniweka smart kuliko yeye.
5.Mama atanambia kwa Fulani sio kwa kuoa wanatabia hizi na hizi
Funguka nawe
Ndio. Sasa huo ni ushauri gani unampa mtoto wako? Kama sio kumtengenezea roho ya utelekezaji?Ushauri wa mzee wako wakipumbavu nimecheka balaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Ulizia wanaume waliowahi kuwa nao kimapenzi
Ndiyo tayari kashakwambia hivyo [emoji847]Baba hajawahi kuniambia chochote zaidi ya maneno haya ......
"mwanangu hawa wanawake hawa ...subir ukikua utaona"
Mbona kama nawe unazidi kuwananga hao wachaga tokana na hii kauli yako[emoji848][emoji16]
Msalimie Sana Mama mwambie anywe soda ntalipa tukioanamama yangu huwa ananiambia hivi usijekutegemea kupata mwanaume aliyekamilika hapa dunian kama ni mume wako jali haya awe anakuhudumia chakula,mavazi vizuri,na ukiumwa akutibie bas usije mwacha mume wako kisa mlevi mchepukaji na mengne bali ww kama mwanamke angalia unanafasi gani kwa mungu wako mweleze mungu matatizo ya mume wako jinsi unavyotaka awe na kwa imani ya kweli mungu anaweza mbadilisha mme wako
Ushaur wa mama mkwe wangu ni mzur sanamama yangu huwa ananiambia hivi usijekutegemea kupata mwanaume aliyekamilika hapa dunian kama ni mume wako jali haya awe anakuhudumia chakula,mavazi vizuri,na ukiumwa akutibie bas usije mwacha mume wako kisa mlevi mchepukaji na mengne bali ww kama mwanamke angalia unanafasi gani kwa mungu wako mweleze mungu matatizo ya mume wako jinsi unavyotaka awe na kwa imani ya kweli mungu anaweza mbadilisha mme wako
Hahaha pole.Nilishapuuzia na nlipata nlichokitafuta ila fresh tu
Ungejitahidi ukatafuta hela zako za kula na kujitibia ungepata heshima.mama yangu huwa ananiambia hivi usijekutegemea kupata mwanaume aliyekamilika hapa dunian kama ni mume wako jali haya awe anakuhudumia chakula,mavazi vizuri,na ukiumwa akutibie bas usije mwacha mume wako kisa mlevi mchepukaji na mengne bali ww kama mwanamke angalia unanafasi gani kwa mungu wako mweleze mungu matatizo ya mume wako jinsi unavyotaka awe na kwa imani ya kweli mungu anaweza mbadilisha mme wako