chimei may
Member
- Feb 14, 2022
- 81
- 93
ntafanya hivo mkuuUngejitahidi ukatafuta hela zako za kula na kujitibia ungepata heshima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ntafanya hivo mkuuUngejitahidi ukatafuta hela zako za kula na kujitibia ungepata heshima.
Dah i wish i had such a wise mummama yangu huwa ananiambia hivi usijekutegemea kupata mwanaume aliyekamilika hapa dunian kama ni mume wako jali haya awe anakuhudumia chakula,mavazi vizuri,na ukiumwa akutibie bas usije mwacha mume wako kisa mlevi mchepukaji na mengne bali ww kama mwanamke angalia unanafasi gani kwa mungu wako mweleze mungu matatizo ya mume wako jinsi unavyotaka awe na kwa imani ya kweli mungu anaweza mbadilisha mme wako
Mwanamke mchoyo miyeyusho sana atakulaza njaaMi Bi mkubwa kila siku ananishauri nisioe mwanamke mchoyo
Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
Nliambiwa usikubali kuolewa na mwanaume ambae hajui thamani yakoWakuu,
Binafsi mimi wazazi wangu wote walishanipa ushauri japo ilikuwa kiutani Ila meseji ili delivery
Kwa wakati tofauti, Father alishawahi nishauri mambo machache kuhusu mahusiano/wanawake
1. Katika kabila letu LA kaskazini kule kuna watu wa mahala fulani kaniambia nisioe huko hata kwa kushikiwa bunduki
2. Aliniambia mwanamke asiweze kukariri ratiba zangu hasa za kurudi na kutoka muda anaofikiria hautoki we unatoka muda anaofikiria unatoka wewe utoki. Kama nitachelewa sana nimtarifu mapema.
3. Kama nitakuwa mlevi basi nisimkere Ila nitumie pombe zangu kumchekesha na kumbebisha
5. Nisikubali kupelekeshwa na mwanamke pia nisiwe sirias wakati wote
Kwa wakati tofauti mama alinipa ushauri kadha
1. Msichana wangu awe mzuri kuanzia sura na roho yaani awee na hofu ya Mungu
2. Alinikataza kumpelekea single mama
3. Alishawahi niuliza kwanini niliachana na Ex wangu na alikuwa anavigezo alivyovitaka
4. Alinishawishi nijiweke smart hata tukienda kanisani atatumia muda mwingi kuniweka smart kuliko yeye
5. Mama atanambia kwa fulani sio kwa kuoa wanatabia hizi na hizi
Funguka nawe...
Mbona Alikudanganya hvyo!?Niliambiwa usije toa TUNDA kabla ya ndoa [emoji4][emoji4]