Ushauri gani ambao ulishawahi kupewa na Mzazi wako kuhusu mahusiano?

Dah i wish i had such a wise mum
 
Aliniambia nisioe kabila Fulani la Kanda ya Kaskazini, nisioe pia mwanamke aliyenizidi elimu
 
Niliambiwa kua makini hii sehemu tunayoishi wengi wameungua huko mnakochovya chovya kuweni makini " sikujibu nilikausha nikanywa chai huku nampa story zingine nilivyomaliza ikawa akili ku mkichwa "

niko makini ninapotaka kubuluzaa siku yakinikuta sina wa kumlaumu.
 
nisioe wamachame au uko wa akina kiwelu,mangowi,moshi na mosha hao wanawake wana tabia ya kuwatawala wanaume zao na wachaga wa kirua au nisioe wanawake wenye uwezo kipesa maana wanazarau wanaume zao iko siku watakuzarau na kukizalilisha
 
Nliambiwa usikubali kuolewa na mwanaume ambae hajui thamani yako

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Nishakimbia nikapitiliza hata sikumbuki makanyo-wacha nikule jeuri yangu tu sasa hivi
 
Niliambiwa usije toa TUNDA kabla ya ndoa [emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…