The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
πNyuzi kama hizi hua zinanifanya kujitafakari sana "How useless I am"π
Maisha ndo haya haya,wala usiumize kichwa,kikubwa afya na ten isikose mfukoniNyuzi kama hizi hua zinanifanya kujitafakari sana "How useless I am"π
Hii gari ya kidada wewe mpe Depal wetuachukue harrier new modelView attachment 2436282
Anaweza kupata j100 lakini sio j200 mkuu...Mil 60 anaweza pata V8 zile J100 au J200 version za mwanzo.
Hii ya 2022 hata kwa million 120 hanunui, labda anunue 3rd genachukue harrier new modelView attachment 2436282
π π π π hata 3rd gen sio mbaya zimekaa powa sana hizo gariHii ya 2022 hata kwa million 120 hanunui, labda anunue 3rd gen
Eeh 3rd gen ni unyama sanaπ π π π hata 3rd gen sio mbaya zimekaa powa sana hizo gari
Hiyo pesa ndogo labda kwa used.Toyota hilux 2020
Itamfaa huko machimboni
Mkuu umeishangaa sana post yangu nilipokwambia umnunulie Depal nikiimanisha gari yakike?achukue harrier new modelView attachment 2436282
Mkuu mtafuteWakuu, salama?
Nimeombwa ushauri hapa wa gari nzuri ya kununua isiyozidi milioni 60.
Rafiki yangu mmoja yuko huko kwenye machimbo Geita kapata pesa anata gari nzuri.
Vile mimi sio mtaalamu wa hayo mambo nikaona niombe ushauri humu kwa niaba yake.
Gari anayotaka ni ya kutembelea.
Shukrani sana.
Nimekuekewa vizuri bossMkuu umeishangaa sana post yangu nilipokwambia umnunulie Depal nikiimanisha gari yakike?
Zingatia mnunuzi ni mtu wa migodini rough road, porini utashaurije anunue gari luxury kama hiyo?
Hiyo ni gari ya mujini.
Wanaume tunanunua gari multi- purpose...utembelee porinini, matopeni, milimani na hata mjini.
Zingatia hili.
Ukiona mwanaume anataka gari lenye low fuel consumption pia ujue ni mtu asiye na maono sahihi.
Low fuel consumption kwa upande mwingine ni gari dhaifu huwezi itumia sehemu zote..eg matopeni, rough road, milimani nk.
Mtu wa migodini mshauri abebe L.C na wanyama wengine.