Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Ni nzuri j200 landcruiserAnaweza kupata j100 lakini sio j200 mkuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni nzuri j200 landcruiserAnaweza kupata j100 lakini sio j200 mkuu...
Ni kweliNyuzi kama hizi hua zinanifanya kujitafakari sana "How useless I am"🙄
Nimekuambia unajua Kama Hilux Vigo ambazo ndo serikali inazitumia ni low fuel consumption?Ukikua utanielewa.
Tunakimbilia gari za low fuel consumption kwa ajili ya umaskini lakini ni gari ambazo huwezi kujivunia kuwa una gari ya mazingira yote.
Hizo ni gqri za lami tu.
Nyingi zina injini ndogo sana.
ToyotaWakuu, salama?
Nimeombwa ushauri hapa wa gari nzuri ya kununua isiyozidi milioni 60.
Rafiki yangu mmoja yuko huko kwenye machimbo Geita kapata pesa anata gari nzuri.
Vile mimi sio mtaalamu wa hayo mambo nikaona niombe ushauri humu kwa niaba yake.
Gari anayotaka ni ya kutembelea.
Shukrani sana.
Kama ni gari ya kutembelea kwa Tshs 60Mil namshauri anunue Toyota Harrier 4WD New model, yenye chini 50,000 km ya mwaka kati 2014 na kuendelea; UtanishukuruWakuu, salama?
Nimeombwa ushauri hapa wa gari nzuri ya kununua isiyozidi milioni 60.
Rafiki yangu mmoja yuko huko kwenye machimbo Geita kapata pesa anata gari nzuri.
Vile mimi sio mtaalamu wa hayo mambo nikaona niombe ushauri humu kwa niaba yake.
Gari anayotaka ni ya kutembelea.
Shukrani sana.
Ni gari nzuri? Gharama yake haizidi 60m?Toyota
Kama ni gari ya kutembelea kwa Tshs 60Mil namshauri anunue Toyota Harrier 4WD New model, yenye chini 50,000 km ya mwaka kati 2014 na kuendelea; Utanishukuru
Sawa duniani tunapita ndio,Bwana Yesu mtoto wa Mungu mwenye kila kitu mbinguni na dunia aliishi dunia miaka 33 bila gari, Baba yake ana kila kitu, wewe wasiwasi wako ni nini hasa? Si tumeambia hapa duniani tunapita? Wewe kula vizuri hili ndo la muhimu ongea na watu vizuri😊😁
You’re not useless. Kama jua linvyong’aa mchana mwezi usiku, nawe wakati wako wa kung’aa utafika na utakuja humuhumu kuuliza ununue ndinga gani.Nyuzi kama hizi hua zinanifanya kujitafakari sana "How useless I am"🙄