Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Nini kimetokea humu SH..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kimetokea humu SH..
Kwani amesema gari inaenda shamba?Hii siyo gari ya shamba na hata akiwa mbishi akaitaka, hatapata kwa mil 60 labda aongeze awe na at least mil 65, tena ni zile za 2016
Nyuzi kama hizi hua zinanifanya kujitafakari sana "How useless I am"[emoji849]
Kyeee🤣🤣🤣Nuksi mpelekee Yesu ni fundi acha kabisa🤣
Niambie mwananguKyeee🤣🤣🤣
Fresh sana chifuNiambie mwanangu
Chifu baba sio?😂Fresh sana chifu
😄😄haya bhanaChifu baba sio?😂
Kwani amesema gari inaenda shamba?
Geita wapo wanaofanya madili kwenye migodi wana gari luxury sana na wana gari za kazi sana. Naona kwenye bango la mtoa mda lipo na taarifa zipo kati kati.. hajasema ni ya matembezi au ni ya kazi..Machimboni ni shamba tu, labda kama nimeelewa vibaya kwamba ‘kutembelea’ yake haitafika huko
Kuna hiyo stage yaani kinachopatikana ni cha siku hiyo hiyo ,[emoji3][emoji3] yaani unakua huna utofauti na mbwa, "ridhiki ya mbwa ipo miguuni mwake"
Hii gari akiendesha mtoto wa kike anavutia zaidi Kama ilivyo kwa harrier.Hii ndio gari ninayoitamani kuiendesha.Sijui ni lini lakini Kwa jina la Mungu hii gari nitakuja kuimiliki siku moja
View attachment 2436858
Kuna mtu hela zinamwasha ,anataka kukuhonga gari humu!! Me namzoom tu kwa mbali!!Nini kimetokea humu SH..
[emoji16][emoji16][emoji16]haya mkuu kwamba hata magari hatuyajuiHuyo msukuma tunaweza kumuuzia hata corola kwa million 60 tunachofanya tunaivalisha sticker za Lamborghini alaf inayobaki tunagawana unaonaje hilo wazo?
Na aftatu ya kufanya usafiAlafu hapo unakuta umetoka kuzozana na Wapangaji wenzako ulipe 5000 ya umeme.