Ushauri: Gari ya milioni 60

Ushauri: Gari ya milioni 60

Nyuzi kama hizi hua zinanifanya kujitafakari sana "How useless I am"[emoji849]
Umesema vyema.
Kuna siku nilipita sehemu nikaona vijana waki spend nikasema kumbe inatakiwa niwe napita sana haya maeneo ili kuona ni kiasi gani I am missing out...aisee kuna watu wapo ktk njia ya pesa anyway ni life
 
Nyuzi kama hizi hua zinanifanya kujitafakari sana "How useless I am"[emoji849]
Tunafeli hapa ndugu .
Vitizame vidole vya mikono alafu jipige kifua kuwa hatulingani hapa duniani .

Ila usisahau kila kitu na majira yake .

Pole sana wewe ni wa thamani sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema vyema.
Kuna siku nilipita sehemu nikaona vijana waki spend nikasema kumbe inatakiwa niwe napita sana haya maeneo ili kuona ni kiasi gani I am missing out...aisee kuna watu wapo ktk njia ya pesa anyway ni life
Upo sahihi kabisaa, Kujenga tabia ya kutembelea maeneo ya waliofanikiwa huwa akili inatanuka sana na kukupa mzuka wa kuzidi kupambana.
Mwisho:"Giza likiingia kajichanganye na wenye furaha,😀😀 Sometime furaha huambukizwa pia"
 
Gari zipo nyingi sema ni uchaguzi na mfuko uongezeke kutokana na kodi...
 

Attachments

  • IMG-20221020-WA0169.jpg
    IMG-20221020-WA0169.jpg
    121 KB · Views: 13
  • IMG-20221020-WA0170.jpg
    IMG-20221020-WA0170.jpg
    263.7 KB · Views: 12
  • IMG-20221020-WA0192.jpg
    IMG-20221020-WA0192.jpg
    123.3 KB · Views: 11
  • IMG-20221020-WA0188.jpg
    IMG-20221020-WA0188.jpg
    163.5 KB · Views: 9
  • IMG-20221020-WA0189.jpg
    IMG-20221020-WA0189.jpg
    186 KB · Views: 9
  • IMG-20221101-WA0044.jpg
    IMG-20221101-WA0044.jpg
    80.8 KB · Views: 11
  • IMG-20221020-WA0167.jpg
    IMG-20221020-WA0167.jpg
    261 KB · Views: 9
  • IMG-20221020-WA0187.jpg
    IMG-20221020-WA0187.jpg
    186.9 KB · Views: 11
  • IMG-20221020-WA0172.jpg
    IMG-20221020-WA0172.jpg
    47.8 KB · Views: 10
Back
Top Bottom