Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ukiona mtu anaomba ushauri ujue sio mtu wa magari.Nimekuekewa vizuri boss
Nili pendekeza hiyo huenda jamaa yake ana gari ingine ya kazi pia.. Kwenye bandiko kasema jamaa yake anataka "gari nzuri" sio gari ya kazi 😅😅😅 angesema anataka gari ya kazi nisingependekeza hiyo
Pili unaweza kununua gari ya kazi lkn ni nzuri mkuu