Jemedaree
JF-Expert Member
- Nov 22, 2021
- 676
- 2,024
Wakuu, salama?
Nimeombwa ushauri hapa wa gari nzuri ya kununua isiyozidi milioni 60.
Rafiki yangu mmoja yuko huko kwenye machimbo Geita kapata pesa anata gari nzuri.
Vile mimi sio mtaalamu wa hayo mambo nikaona niombe ushauri humu kwa niaba yake.
Gari anayotaka ni ya kutembelea.
Shukrani sana.
Ford Raptor
Huyu mnyama basi tuu[emoji28][emoji91]