Ushauri: Gari ya milioni 60

Natumaini gari hili ni nzuri , jaribu kumshauri.

I'm sure gari ya ndoto yangu aisee!
 
Achukue
1. Crown, Toyota
Na
2. Volkswagen Golf GTI
Na
3. Succed, Toyota

Hela inayobaki ihudumie hizo gari.
 
Ukikua utanielewa.
Tunakimbilia gari za low fuel consumption kwa ajili ya umaskini lakini ni gari ambazo huwezi kujivunia kuwa una gari ya mazingira yote.
Hizo ni gqri za lami tu.
Nyingi zina injini ndogo sana.
Nimekuambia unajua Kama Hilux Vigo ambazo ndo serikali inazitumia ni low fuel consumption?
 
Toyota
Kama ni gari ya kutembelea kwa Tshs 60Mil namshauri anunue Toyota Harrier 4WD New model, yenye chini 50,000 km ya mwaka kati 2014 na kuendelea; Utanishukuru
 
Toyota

Kama ni gari ya kutembelea kwa Tshs 60Mil namshauri anunue Toyota Harrier 4WD New model, yenye chini 50,000 km ya mwaka kati 2014 na kuendelea; Utanishukuru
Ni gari nzuri? Gharama yake haizidi 60m?
 
Sawa duniani tunapita ndio,
Lakini hakikisha na hivo vitu vinapitia na kwako ndio hii kauli iwe valid.
Unauliza Mfilisiti unasema nini????
Yes hakikisha vinapitia na kwako.
Yesu hakua fukara maandiko yanatanabaisha hili.
Yesu Kupanda tu farasi kwa kipindi hicho ilikua ni moja ya usafiri wenye Gharama sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…