Sokoro waito
JF-Expert Member
- Nov 21, 2014
- 2,201
- 2,599
Bikra ina matter Sana Dada kama huna shauri yako.Kwa hiyo shida yake ni wewe au bikra? Mwambie aache ujinga
ficha ujinga wakoNashangaa kuona mpk kuna wanaume wenzangu mnatetea hpa. Ingekuwa nyie mngeamini kweli..??? Hapana aisee. Mimi binafsi nisingeamin mpk na ningesepa, au ningeendelea huku nikijiaminisha kwamb mimi sio wa kwanza kwake na wala hajanitunzia.
Kwanini damu isitoke bana..!!! Acha tu jamaa asepe kwa kweli, ila haiwezekani hata kitone cha damu kama ya mbu, eti kisionekane NEVER..!!
Nimependa wanawake wanaoonesha kushangaa kilichotokea. Safi sn...!! Wanaomtetea wamuulize vzr mwenzao.
...nahisi jamaa may be alikuwa apeleki push in kama ya USAIN BOLT bali kama ya mwendo wa kinyongaKwanini damu haikutoka?
Tuanzie hapo kwanza
...NDIYO SEHEMU WW ULIYO ZALIWA KUTOKA KWA MWANAMKE MWINGINE .......guess her...zinatisha hizo kama macho ya zombie [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
How old are you? Kweli kipimo cha mke mwema kwako ni bikra? Kitu ambacho hata sio cha kudumu mkishakutana mara moja tu kwa heri. Unaonekana hujawahi kukutana nayo ndio maana upo desparate kiasi hichoBikra ina matter Sana Dada kama huna shauri yako.
Me nikimpata gal mwenye bikra nanikafanikiwa kutoa basi Huyo ndo atakuwa mke wangu
Hao wanawake wanaoshangaa walitolewa bikra wakiwa bado wabichi hawajakutana na mikikimikiki ya maisha. We una miaka 13 unakutana na kitu nchi sita lazima damu imwagike kama kuku kachinjwaNashangaa kuona mpk kuna wanaume wenzangu mnatetea hpa. Ingekuwa nyie mngeamini kweli..??? Hapana aisee. Mimi binafsi nisingeamin mpk na ningesepa, au ningeendelea huku nikijiaminisha kwamb mimi sio wa kwanza kwake na wala hajanitunzia.
Kwanini damu isitoke bana..!!! Acha tu jamaa asepe kwa kweli, ila haiwezekani hata kitone cha damu kama ya mbu, eti kisionekane NEVER..!!
Nimependa wanawake wanaoonesha kushangaa kilichotokea. Safi sn...!! Wanaomtetea wamuulize vzr mwenzao.
Hapo chacha....Kwanini damu haikutoka?
Tuanzie hapo kwanza
Mimi ni binti wa miaka 22 nikiwa na miaka17 nilianza uhusiano na kaka mmoja jina (kapuni) yeye alikua mbele yangu mwaka mmoja.
Tulidumu katika mapenzi kwa muda sasa tukiwa tumewekeana ahadi nyingi ikiwemo kuja kuoana baadae lakini tukiwa katika safari yetu ya mapenzi alianza kuhitaji kumega tunda lakini mimi sikuwa tayari.
Ushawishi ulizidi na mimi sikuona hiyana coz ni mume wangu mtarajiwa.
Tulipanga siku tukakutana na ndo mwanaume wangu wa kwanza kukutana naye lakini cha kushangaza damu haikutoka na yeye ndo mtu wa kwanza kuutoa usichana wangu.
But kwa muda huo hakuwezi kuongea chochote baada ya kupita wiki moja aliniambia haamini kama nilimtunzia usichana wake lakini nilijitahidi kujitetea bila mafanikio japo ni kweli kabla sijawahi kumfahamu mwanaume yeyote.
Naombeni ushauri wenu please.
Naona unahangaika kumuelekeza mvulana kipimo cha mke bora, kwake ni bora aoe mchawi ilimradi awe bikra teh.How old are you? Kweli kipimo cha mke mwema kwako ni bikra? Kitu ambacho hata sio cha kudumu mkishakutana mara moja tu kwa heri. Unaonekana hujawahi kukutana nayo ndio maana upo desparate kiasi hicho
dah basi hiyo ya kutoa bikra pasipo damu haikuwahi kuwa baati yangu coz nimetoa bikra saba na damu juu.mwambie alete reference wapi palipoandikwa kua ukitolewa bikra LAZIMA damu itoke????
kuna aina tofauti za bikira...nikipost hapa nahisi mods wataitoa...
but huyo bwanako hata kale ka basic biology kalimpiga chenga..
Bila kula mzgo utajuaje ss km bikira au usedJamaa muhuni sana aisee kala kwanza mzigo ndio kaja na swaga za no bikra,
Kwan bikra pigo moja tu unajuaBila kula mzgo utajuaje ss km bikira au used