USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

Kesho CHADEMA wasipowafukuza akina Mdee watambue kuwa CHADEMA inafariki ghafla kama CUF ya Lipumba na kitakuwa chama cha hovyo kupata kutokea Duniani kote hata TLP NCCR na CUF ya Lipumba vitakuwa juu yao
 
Hahaha COVID-19 ni hatari kwa chama, hivyo waondolewe wote.
CHADEMA ipo ICU na dawa pekee ya kuiokoa juu ya janga la kushuka daraja ni kuwafukuza akina Mdee na watumwa wa kike walionunuliwa na Ndungai kwenda Dodoma Bungeni kwa njia haramu za kishetani
 
Wafukuzwe kwanza kwenye chama kwa kosa walilotenda ili kulinda nidhamu na heshima na katiba na maamuzi ya chama

Wakitaka kurejea Chadema waombe upya uanachama.

Hakuna maridhiano na wasaliti anayesaliti huku akijua kuwa anatenda jinai ukimuachia anaweza kutenda baya zaidi huko mbeleni kwa sababu ana bei tena cheap!
 
CHADEMA kesho msipowafukuza hawa wamama aisee mtakuwa mmetuvua nguo. Hawa wamekitia dosari chama. Wafukuzwe.
 

Kwamba hawa wana side na aliyepanga na kuratibu jaribio la kumwua mwenzao. Kwamba hawa wana side na aliyepanga na kuratibu kupotea kwa akina Ben.

Kwamba hawa wana side na aliyepanga na wizi wa uchaguzi ...... yako innumerable!

Incredible!

Wamesahau kipi hawa!?

Mkuu nisome unione vyema. Lissu ni muhimu sana ikasomeka katika wajumbe - "in attendance!"
 
Waasi wanatakiwa kufukuzwa full stop

Unakuona mkuu. Kwani kwa hakika kuafikiana na shweitani wamegusa pabaya!

Ndugu wajumbe mtusome mtuone, yanabakia masaa takribani matano.

Hawa ni unpardonable labda waje wameniga magunia kabsaaa! Na hasa yule afisa kipenyo mtendaji kutokea Tunda.
 

Hahaaahaa ha ha ha.

Habari hii na imfukie jiwe na vibaraka wake popote walipo.

Wajumbe kamati kuu tunaamini hamtatuangusha!

Hili sasa liko kama kumsukuma mlevi tu.
 
Kamanda jibu swali acha porojo 😂😂

Mbona yameelezwa kwenye mada? Unakwama wapi kamanda? Kwa ufupi mbona angalizo liko wazi kwa kutambua uwepo wako?

"Hili ni letu. Si la chama mboga mboga. Wasituingilie tunaposafisha nyumba yetu. Nia na uwezo wa kulikabili hili vilivyo, tunao na hatuhitaji msaada wao."

Au ulidhani palipo andikwa "ku kikao" palikuwa pamekosewa?
 
Kesho kamati kuu iwe kama huyu, isilete ulegelege, ikileta ulegelege itafungua pandora box la usaliti juu ya usaliti mpaka chama kitabaki kuwa kama UPDP na wananchi watakiona kuwa hakiko serious!


 
Hivi kati ya Timu Mbowe na Timu lisu nani ataibuka kidedea kwenye hii sakata?
Chadema mapabde mawili rasmi!
 
Hivi kati ya Timu Mbowe na Timu lisu nani ataibuka kidedea kwenye hii sakata?
Chadema mapabde mawili rasmi!

Timu ziko kwa kina wema, baba Tiffa na wale mamburula wenzao. Wafuate huko. Huku utakuwa umepotea njia tu.

Vyooni zingatia jinsia jombi, usipoangalia mwisho utabakwa bure mkuu!
 
Pamoja na kuwasihi CHADEMA kutumia busara na hekima zaidi katika kufanya maamuzi yao, suala la watu kujipeleka kuapa wakati wanajua kabisa kua msimamo wa chama ni kutoungana na Bunge la CCM kuhalalisha haramu.

Kama kweli kuna watu wamehusika katika kutengeneza taarifa za uongo huku wanaelewa msimamo wa chama kupitia kamati kuu yake ni tofauti, hawa watu wafukuzwe uanachama wao. Viongozi waliohusika kuandaa hili jambo kwa kushirikiana na NEC na uchunguzi ufanyike watimuliwe.

CHADEMA si ya Halima Mdee au Ester Bulaya na Ester Matiko, kabla ya wao Chama kilikuwepo na kulikua ni viongozi wengine. Wataondoka na watasahaulika kama ilivyo kwa wengine
 
Mlimfukuza ZZK kwa kile mlichoita usaliti, leo hii mnamhitaji kila siku kwenye maridhiano.

Mliwakaribisha mamluki Kina Sumaye na Masha hadi jikoni, kuna nini wasichokijua?

Kama ni usaliti, nyie ndo mmetusaliti pakubwa wananchi tuliowahi kuwaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…