USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

Nguvu wanayotumia CCM kipindi cha harakati za kampeni wangezitumia nyakati zote za madaraka yao hakika kila mtanzania angekuwa TAJIRI.

Hata hivyo umetumia kipimo gani ili kujua watu wanaipenda CCM?

kua tajiri wala ata haihusiani na serikali, tanzania tayar kuna kila kitu cha kukusaidia kua tajiri, its on the perfect shape! ushindwe wewe tu, kwan wengine wanakua matajiri wanatumia serikali gan? so it means wewe ndo una tatizo, na kamwe haiwezekan wote tukawa matajiri haiwezekan na haitakuepo, yaani haiwezekan kila mtu awe bosi
 
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.

Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama.

Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.

Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyewe

Acheni upumbavu bwana.
 
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na ridhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.

Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama.

Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.

Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
Fukuzeni hao kima manina zao
 
Kwa kuwa mie napenda sana msimamo, heshima, haki usawa, mkiwafukuza iyatakuwa poa, upinzani upo kwa wananchi sio viongozi, kinachoitajika chama kuwa na msimamo, ingawa kura mmeibiwa nyingi, nawahakikishia uchaguzi ujao zitaongezeka japo nao wataongeza speed ya wizi!
 
Nimesikia kuna wanachama 19 wa Chama Cha Demokrasia wameapishwa kuwa wabunge wa viti maalum kinyume cha Katiba ya Chama.

Nimesikia miongoni mwao ni Halima. Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake. Aibu ya kufunga mwaka.

Kama hayo mawili hapo juu ni sahihi, Halima na wenzake wafutwe uanachama.

Chama cha Demokrasia ni cha wananchi. ndiyo maana upande wa pili waliamua kupiga kura za kwenye mabegi. upuuzi huu wa hawa 19 hauvumiliki. ni ubinafsi uliopitiliza.

Halima kuwakilisha tumbo badala ya wananchi hai make sense.

Awe wa kwanza kifika kujieleza Kamati Kuu.
 
Usaliti uliofanywa na halima haukubaliki.Ccm Safari hii wameiba kura nyingi Sana ili kushinda uchaguzi..
 
Kwahiyo mtamfukuza na Mbowe?
IMG-20201126-WA0028.jpg
IMG-20201126-WA0029.jpg
IMG-20201126-WA0030.jpg
IMG-20201126-WA0031.jpg
 
Hizo ndio siasa vijana mnachezewa akili tu sioni wa kufukuzwa labda japo sidhani kama itatokea.
 
Back
Top Bottom