USHAURI: Halima Mdee na wenzake wafukuzwe CHADEMA

Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na lidhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.

Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama. Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.

Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
Kujenga nidham na chama kinakufa njaa?
Nyie watu ndio hamna nia njema na chama chetu
 
Kufukuzana uanachama haijawahi kuwa solution yenye kuleta tija

Nyie tulieni maisha yaendelee tu na wanasiasa wasiwape stress. Jiulize kwanini mpaka leo Aida hakuwa amefukuzwa?

Jiulize mpaka leo kwanini ACT wamemute kujibu barua kama hawatojoin SUK? Jiulize kwa nini kwenye press conference ya jana alikuwepo Lissu na Zitto tu? Mbowe na Mnyika walikuwa wapi?
 
Wasifukuzwe hao viumbe vya kuburudisha wanaume tu...Wanaume nenden mkakomae The Hague
 
Nimeona Halima Mdee na kundi lake wakila kiapo kwa spika wa bunge kama wabunge wa viti maalumu CHADEMA, kama kweli wamerubuniwa na CCM na hatimaye kula kiapo bila kuwa na lidhaa ya chama wafukuzwe unachama Mara mmoja.

Hii itasaidia kujenga nidhamu ndani ya chama. Ni bora kujenga chama upya kuliko kuwa na watu wasio na nidhamu ndani ya chama. Ifahamike kuwa chama hiki ni mali ya wanachama na si watu wachache. Kuna watu tumepoteza kazi serikalini kwa sababu ya kukipigania chama.

Narudia kama wamekengeuka na kula kiapo bila ridha ya chama ,basi wafukuzwe wote Mara moja bila kujali jina la MTU.
Kabisa
 
Hata ingekuwa ni ww ungeenda tu,
Umewahi kuwaza chadema itaishi vipi bira ruzuku?

Umewahi kuwaza chadema itawalipa nn wafanyakazi wake?

Au ww kazi yako ni kupiga kelele za tu kugoma bila kuwa na sln
😧😧
 
Tulieni basi makamanda.
mkileta ujuaji usio na macho Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na uwaziri utamuhusu.
""""""kudadadeki"""""
 
CHADEMA WAKANA KUPELEKA MAJINA YA VITI MAALUM

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua Wabunge wa Viti Maalum

Asema, "Niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua"
 
Hata ingekuwa ni ww ungeenda tu,
Umewahi kuwaza chadema itaishi vipi bira ruzuku?

Umewahi kuwaza chadema itawalipa nn wafanyakazi wake?

Au ww kazi yako ni kupiga kelele za tu kugoma bila kuwa na sln
Ni kiasi gani watacontribute kuendesha chama. Fikiri tens kablanya kuandika
 
Ninyi ndio mliokuwa mnamtetea Aidan asifukuzwe?

Back
Top Bottom