Ushauri: Harmonize wa WCB acha au punguza uvutaji sigara, itakupeleka pabaya

Possibly coz waitaliano sigara kwao ni kawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamakonde kwa bangi utawaweza wapi!
 
Safari ya sigara huzaa safari mbili

Moja, huzaa safari ya utasa au ugumba (vyovyote itakavyokuwa). Ukizingatia kijana mdogo bado hana hata mtoto kuharibu uzazi wake kwa masigara inasikitisha.

Mbili, huzaa safari ya bangi na mwishowe ni kuchizika na kupoteza dira, tunasikitika kijana mwenye kipaji hivi tutampoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

KWANINI USIFATILIE MAMBO YAKO? YEYE AKIVUTA SIGARA KINACHOKUUMA NI NINI??? KWANI ANAKUOMBA PESA YA KUNUNUA EMBASY?????
 
Nimepewa data hapa huyo dogo anayemtaka harmonize awe meneja anaitwa rajabu mchopa...
Kwenye IG anatumia mchopa_the_bestboy

Sent using Jamii Forums mobile app
hivi hawa mameneja wa wasanii,huwa wana skills za umeneja kweli au ni title tu?maana ukitamka neno meneja kwa sisi ambao tuko kwenye corporate world tunapata picha tofauti kabisa.
 
Mtoa mada " wasanii na vilezi ni muumini na sala ... usipoteze muda wako sana " kumshauri hivyo aisee hawezi kukuelewa ...

Hivi unajua kwanini proffesor j alikuwa anaitwa mzee wa mitulinga ..!?

Sitetei kuwa ni jumbo zuri ... lakini natamani walau ungejua maana ya kutaka umaarufu ni nini !? Hakuna mtu anaye taka umaarufu halafu asiache kufunga mana na roho ya tamaa na starehe ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku huu Uzi tutaufufua tu!
 
SIGARA AMEANZA KUVUTA TANGU TUPO NAE HAPA KARUME.USANII UMEMKUTA AKIVUTA SIGARA
 
Watu wake wa karibu wanasema ameanza kiburi...kazinguana na Mr. Puazi ambaye ni Meneja wake...lengo lake hiyo position ampe rafiki yake wa karibu anaitwa Rajabu...
Hapa umenishangaza, kwani kati ya Hamornize na Meneja nani kamwajiri mwenzake? Hapo ni kuwa Meneja kafukuzwa kazi.
 
Mkuu havuti ni swaga tu ,ila WCB wanavuta bangi hasa diamond
 
We ndo unaakili sasa ,Jamani yule ni msanii hata anavyovaa anavaa wanavyotaka watu,vijana wanapenda ulevi afu wafanikiwe ukiwa na image hiyo unakuwa role model wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…