Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,237
- 1,696
Nilikuwa shabiki wake mzuri lakini baada ya kugundua ni mvutaji mkubwa wa sigalla ajabu nimejikuta napoteza hata ile hali ya kusikiliza kazi zake.!
Asipokuwa makini miaka 20 mingi sana kwake, ajifunze kutoka kwa Nasib.ama huenda aina ya mwanamke aliye naye ndio chanzo cha hiyo tabia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni shauri hivi we haujawahi kupewa ushauri
Anavuta fegi gani?Mara nyingi sana,pia nyuma ya pazia kuna mdau wangu yuko pale anamaliza pakiti2 kwa siku
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu shekhe kiba100 huyu huyu anakula chiga?? 😂😂Halafu suala la sigara " halipo kwa harmo peke yake
Ali kiba anavuta
Messi anavuta
Rooney anavuta .
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah sana tu ...mkuu shekhe kiba100 huyu huyu anakula chiga?? [emoji23][emoji23]
Dumkuu shekhe kiba100 huyu huyu anakula chiga?? [emoji23][emoji23]
PossiblyMi nadhani yule mwanamke ndo kamuwasha huyu dogo. Hakua hivi kabisa Yule mama sura imemshuka sana, itakua anavuta sana mineli. Halafu sijui mgiriki yule? Au Muhangari hakuna mzungu pale.
Anaye ajiri ni msanii ila si vema kutumia hila kumtoa menejaHapa umenishangaza, kwani kati ya Hamornize na Meneja nani kamwajiri mwenzake? Hapo ni kuwa Meneja kafukuzwa kazi.
Anatakiwa kubadilika mkuu,usanii ni kioo cha jamiiSIGARA AMEANZA KUVUTA TANGU TUPO NAE HAPA KARUME.USANII UMEMKUTA AKIVUTA SIGARA