Ushauri: Harmonize wa WCB acha au punguza uvutaji sigara, itakupeleka pabaya

Lazima tutimize wajibu kuongoza wengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kick la Bashite kwa mara niyingine limekwama leo...huyu jamaa hana kazi?
 
Km anafanya ujinga lazima arekebishwe

Sent using Jamii Forums mobile app

Mi nashangaa kuna RAIA wanajinasibu kwamba kaanza usiku nyingi!!?? Mbona alikua haonekani kubugia moshi kama sasa hivi, maimpe ndonga kwa kumsifia kaanza siku nyingi. Cha msingi aache fegi sio nzuri kwa afya. Ila yule mama was kiitaliano/kigiriki sio kabisa.
 
Jamani leo tarehe ngapi na mwaka gani? hii thread imeandikwa trh 4 mwezi wa 01 mwaka 2019 au naota? Konde boy konde boyyy
 
 
Mara nyingi sana,pia nyuma ya pazia kuna mdau wangu yuko pale anamaliza pakiti2 kwa siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamfuatilia nini bwana? Kwani yeye hajui kuwa sigara n hatari kwa afya yake
Mwache ale/ avute. Hapo anatumia jasho/pesa zake we yanakuhusu nini!
Huyu n mtu mzima ana akili timamu mifano anaiona ipo mingi tu wapo wasanii wengi tu wameshakuwa mateja kupitia hzo njia. Acha afanye anachotaka pesa anazihangaikia kwenye majukwaa usiku na mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamo badilika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwache dogo atomboke ndo wakati wake nawe Mr Pua kwani msanii ni Harmo tu kachukue dogo mwanalumango huko uwe meneja wake
 
We utakuwa mvutaji sio kwa kumtetea huko. Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…