Ushauri: Hataki kuolewa na mimi, anaogopa kuchekwa kuolewa na "asiyesikia"



Hizo tetesi umezisikiaje mkuu?
 
Mungu atakupa hitaji la moyo wako
 
Dah! Pole sana mkuu, mim pia ni kiziw kama wewe nilipatwa na tatizo mwaka 2013 nikiwa kidato cha pili, hata mimi napitia chamgamoto kama yako imekuwa ngumu sana kwangu kuanzisha mahusiano kwan kila ninaejaribu kumweleza hisia zangu mwisho huishia kunikataa, nawaza sana cjui nitaishi maisha gani mim, nataman na mim niwe na familia sababu umri nao unasonga lakin ndo hivyo tena najikuta sina namna. Kiukwel inaumiza sana kwan sikupenda niwe hiv
 
Aisee huyo ni tapeli, anakula tu pesa zako
KATAA NDOA, LINDA AFYA YA AKILI YAKO
 
Hatari mabinti wengi wakishaona husikii wanasumbua wanaambizana nitampeleka wapi
 
Jiamini, jikubali, ukifanya hivyo na wengine watafanya hivyo kwa lazima. Ukijishusha na kuwa mbabaifu na wengine wana kushusha na kukufanyia ubabaishaji.

Jiweke namna unataka, misimamo nk.
 
Jiamini, jikubali, ukifanya hivyo na wengine watafanya hivyo kwa lazima. Ukijishusha na kuwa mbabaifu na wengine wana kushusha na kukufanyia ubabaishaji.

Jiweke namna unataka, misimamo nk.
Me pisi nazipata sema huyu nimeambiwa tu anavyosema sina uhakika
 
Wanaume wanaweza kuishi na wanawake pamoja na udhaifu lkn wanawake ni wachache sana wenye moyo huo Ningekua na uwezo Mungu atubari wanaume wenye uoendo wa kweli wote tuende peponi.Unakuta una risk unajinyima kumake hata usile mchana lkn ukailinde familia yako lkn bado unaporudi nyumbani unakuta mke hajali wala nini yupo yupo tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…