Issaboy255
Member
- May 25, 2017
- 48
- 106
Mechanicalhabari zenu wa JF nina mdogo wangu kahitimu form six mwaka huu P.C.M amefaulu vizuri tu ana dvs2 ya point 12 sasa yuko dilemma mwanzoni alitamani kusomea water supply and sanitation bt now naona anataman kuchukua computer science au I.T ananiomba ushaur daily bt sina uelewa kiundan kuhusu hizo kozi hivyo nahitaji msaada wenu kwa mwenye uelewa[emoji120][emoji120][emoji120]
Hata Electrical and Civil pia zipo njema.Mechanical
2.12 computer & IThabari zenu wa JF nina mdogo wangu kahitimu form six mwaka huu P.C.M amefaulu vizuri tu ana dvs2 ya point 12 sasa yuko dilemma mwanzoni alitamani kusomea water supply and sanitation bt now naona anataman kuchukua computer science au I.T ananiomba ushaur daily bt sina uelewa kiundan kuhusu hizo kozi hivyo nahitaji msaada wenu kwa mwenye uelewa🙏🙏🙏
Hata IT ina uwanja mkubwa wa kujiajiri.Kwann asisomee kozi za mifugo au kilimo ili akimaliza apate kujiajiri kuliko kusomea IT aje awe ana burn CD tu mtaan kazi ambayo darasa la 7 anafanya
Aende mechanical au electrical au computer engineering DIT.habari zenu wa JF nina mdogo wangu kahitimu form six mwaka huu P.C.M amefaulu vizuri tu ana dvs2 ya point 12 sasa yuko dilemma mwanzoni alitamani kusomea water supply and sanitation bt now naona anataman kuchukua computer science au I.T ananiomba ushaur daily bt sina uelewa kiundan kuhusu hizo kozi hivyo nahitaji msaada wenu kwa mwenye uelewa🙏🙏🙏
Ni nani alikwambia wale wa-burn CD ni I.T's personell?! Wewe I.T unaijua vizuri?! Mjifunzage vitu muelewe au muulize mpewe madiniKwann asisomee kozi za mifugo au kilimo ili akimaliza apate kujiajiri kuliko kusomea IT aje awe ana burn CD tu mtaan kazi ambayo darasa la 7 anafanya
Hamna ataishia kufungua movies za studio,zile wanatuuzia single movie buku,na series moja buku mbiliHata IT ina uwanja mkubwa wa kujiajiri.
Achana nae huyo,,,hajui dunia inahamia kwa kasi kwenye teknolojia hata kufuga,,kulima kwa dunia ya sasa na kwa wenzetu waliootuacha ni computerized projects and progresses!!Ni nani alikwambia wale wa-burn CD ni I.T's personell?! Wewe I.T unaijua vizuri?! Mjifunzage vitu muelewe au muulize mpewe madini
I.T sio kitu cha kipuuzi kama mnavyokifikiria nyinyi watu wa kawaida msiotaka kujua na ku-appreciate mambo makubwa, na wala I.T's hayo mambo hayako kwenye fani yao deeply! Hizo mambo za ku-burn CD na kuuza movie kitaa mtu yoyote anaweza kufanya akijua computer basics na utundu wa kuchezea vile vi-programs vitu ambavyo hata mtoto mdogo akiwa na Computer nyumbani basically atajua kufanya hayo mambo.
I.T ni dunia nyingine kubwa sana! Futa hayo mawazo kuanzia leo.. hakunaga I.T darasa la Saba
Kama hivyo TISS, BOT, TTCL, TIGO na mashirika mengine makubwa nchini na duniani wangewasomba hao la saba wawape kazi wakapate ulaji
WACHA KABISA!
Yes, anapata course za UDBS kule.Hivi wakuu 1 point 7 ya ECA anaweza kuchaguliwa UDSM?
Dunia kabisa wapi wabani CD na kuingiza window tuu kibongo bongo kuna maajabu gani, yasemeNi nani alikwambia wale wa-burn CD ni I.T's personell?! Wewe I.T unaijua vizuri?! Mjifunzage vitu muelewe au muulize mpewe madini
I.T sio kitu cha kipuuzi kama mnavyokifikiria nyinyi watu wa kawaida msiotaka kujua na ku-appreciate mambo makubwa, na wala I.T's hayo mambo hayako kwenye fani yao deeply! Hizo mambo za ku-burn CD na kuuza movie kitaa mtu yoyote anaweza kufanya akijua computer basics na utundu wa kuchezea vile vi-programs vitu ambavyo hata mtoto mdogo akiwa na Computer nyumbani basically atajua kufanya hayo mambo.
I.T ni dunia nyingine kubwa sana! Futa hayo mawazo kuanzia leo.. hakunaga I.T darasa la Saba
Kama hivyo TISS, BOT, TTCL, TIGO na mashirika mengine makubwa nchini na duniani wangewasomba hao la saba wawape kazi wakapate ulaji
WACHA KABISA!
Huna ulijualo... BOGUS! kabisa hata kuandika sentesi yenye maana ikaeleweka hujui! Unaharisha tu... na unaonekana BANGI! Jibizana na bangi wenzioDunia kabisa wapi wabani CD na kuingiza window tuu kibongo bongo kuna maajabu gani, yaseme
Nyie maboyaa tuu, IT anaply nafas utumish hajaitwa interview, anapiga simu customer care kulalamika. IT gani wwHuna ulijualo... BOGUS! kabisa hata kuandika sentesi yenye maana ikaeleweka hujui! Unaharisha tu... na unaonekana BANGI! Jibizana na bangi wenzio
AHSANTE SANA! mungu akuzidishie uelewa mpana kamanda👊🏾Achana nae huyo,,,hajui dunia inahamia kwa kasi kwenye teknolojia hata kufuga,,kulima kwa dunia ya sasa na kwa wenzetu waliootuacha ni computerized projects and progresses!!