Ushauri ipi kozi nzuri

Ushauri ipi kozi nzuri

Issaboy255

Member
Joined
May 25, 2017
Posts
48
Reaction score
106
habari zenu wa JF nina mdogo wangu kahitimu form six mwaka huu P.C.M amefaulu vizuri tu ana dvs2 ya point 12 sasa yuko dilemma mwanzoni alitamani kusomea water supply and sanitation bt now naona anataman kuchukua computer science au I.T ananiomba ushaur daily bt sina uelewa kiundan kuhusu hizo kozi hivyo nahitaji msaada wenu kwa mwenye uelewa🙏🙏🙏
 
habari zenu wa JF nina mdogo wangu kahitimu form six mwaka huu P.C.M amefaulu vizuri tu ana dvs2 ya point 12 sasa yuko dilemma mwanzoni alitamani kusomea water supply and sanitation bt now naona anataman kuchukua computer science au I.T ananiomba ushaur daily bt sina uelewa kiundan kuhusu hizo kozi hivyo nahitaji msaada wenu kwa mwenye uelewa[emoji120][emoji120][emoji120]
Mechanical
 
habari zenu wa JF nina mdogo wangu kahitimu form six mwaka huu P.C.M amefaulu vizuri tu ana dvs2 ya point 12 sasa yuko dilemma mwanzoni alitamani kusomea water supply and sanitation bt now naona anataman kuchukua computer science au I.T ananiomba ushaur daily bt sina uelewa kiundan kuhusu hizo kozi hivyo nahitaji msaada wenu kwa mwenye uelewa🙏🙏🙏
2.12 computer & IT
 
Aende mechanical au electrical au computer engineering DIT.
 
Kwann asisomee kozi za mifugo au kilimo ili akimaliza apate kujiajiri kuliko kusomea IT aje awe ana burn CD tu mtaan kazi ambayo darasa la 7 anafanya
Ni nani alikwambia wale wa-burn CD ni I.T's personell?! Wewe I.T unaijua vizuri?! Mjifunzage vitu muelewe au muulize mpewe madini

I.T sio kitu cha kipuuzi kama mnavyokifikiria nyinyi watu wa kawaida msiotaka kujua na ku-appreciate mambo makubwa, na wala I.T's hayo mambo hayako kwenye fani yao deeply! Hizo mambo za ku-burn CD na kuuza movie kitaa mtu yoyote anaweza kufanya akijua computer basics na utundu wa kuchezea vile vi-programs vitu ambavyo hata mtoto mdogo akiwa na Computer nyumbani basically atajua kufanya hayo mambo.

I.T ni dunia nyingine kubwa sana! Futa hayo mawazo kuanzia leo.. hakunaga I.T darasa la Saba

Kama hivyo TISS, BOT, TTCL, TIGO na mashirika mengine makubwa nchini na duniani wangewasomba hao la saba wawape kazi wakapate ulaji

WACHA KABISA!
 
Achana nae huyo,,,hajui dunia inahamia kwa kasi kwenye teknolojia hata kufuga,,kulima kwa dunia ya sasa na kwa wenzetu waliootuacha ni computerized projects and progresses!!
 
Dunia kabisa wapi wabani CD na kuingiza window tuu kibongo bongo kuna maajabu gani, yaseme
 
Huna ulijualo... BOGUS! kabisa hata kuandika sentesi yenye maana ikaeleweka hujui! Unaharisha tu... na unaonekana BANGI! Jibizana na bangi wenzio
 
Nyie maboyaa tuu, IT anaply nafas utumish hajaitwa interview, anapiga simu customer care kulalamika. IT gani ww
 
Achana nae huyo,,,hajui dunia inahamia kwa kasi kwenye teknolojia hata kufuga,,kulima kwa dunia ya sasa na kwa wenzetu waliootuacha ni computerized projects and progresses!!
AHSANTE SANA! mungu akuzidishie uelewa mpana kamanda👊🏾

Majitu hapa kwetu yanajiishiia tu hata hakuna yanachoelewa. Yanaweka mabando ya bukubuku na jerojero kuja kuongea UPUMBAVU tu humu, at the sametime wala hawajui ni nani anayewawezesha mpaka wanatumia hizo bando zao za vibaba kwa uhuru, amani na raha. Yanapiga watu vibomu yatumiwe hela tigopesa na wanaomba pesa za kutolea ila hawajui jitihada iliyofanyika nyuma na nini kinaendelea pale. Mtandao ukishuka wanawatukana Airtel na Tigo pasi na Kujua ni watu gani wanapitia sacrifices pale nyuma mpaka mtandao upande nchini huduma ziendelee... wao wanahara tu humu

Hii rangi nyeusi ni LAANA!
 
Back
Top Bottom