Issaboy255
Member
- May 25, 2017
- 48
- 106
habari zenu wa JF nina mdogo wangu kahitimu form six mwaka huu P.C.M amefaulu vizuri tu ana dvs2 ya point 12 sasa yuko dilemma mwanzoni alitamani kusomea water supply and sanitation bt now naona anataman kuchukua computer science au I.T ananiomba ushaur daily bt sina uelewa kiundan kuhusu hizo kozi hivyo nahitaji msaada wenu kwa mwenye uelewa🙏🙏🙏