Ushauri: Iundwe Kamati huru kubaini chanzo cha nyufa JNHP maana kuna harufu ya uhujumu uchumi

Nakupa siku nzima tuletee jina la ‘project manager’ wa huo mradi kutoka team ya TANESCO.

Achilia mbali wataalamu wengine waliopo kwenye team yake.
Kwanza huelewi unachokiongea.

Kwanini "project manager" awe wa Tanesco? Toka lini 'client anakuwa na "Project Manager"? Project manager ni mtu wa mkandarasi. Client anaweka "Consultants kutegemea na mradi ulivyo, "main contractor" ambae ni Arab Contractors anaweza kuwa yeye ndiye Consultant pia".

Watanzania mnasikitisha sana kwa ujinga wa kujifanya mnajuwa kumbe hamjuwi. Soma:





Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
How do you certify the quality of work done then?

Mradi unatumia wataalamu wengi wa TANESCO kila siku katika technical works, how does the organisation allocate the numbers appropriately without affecting their own operations, considering it has other modernisation projects nationwide.

How does TANESCO learn from this mega project kama wao wenyewe hawana watu wanaofuatilia kazi.

Kwanini waseme wana team ya usimamizi; halafu wewe useme hawana.

How do they know if the ‘project plan’ inafuatwa kama wao hawapo site na wala hawana wataalamu wakukagua tasks tofauti za mradi.

Unadhani consultant atafanya kazi mwenyewe bila ya wasaidizi.

Acha kuropoka mambo usiyoyaelewa.

Ni kwamba wanaropoka tu ukiwasikiliza tunafanya mambo kisayansi; wakati hata project manager hawana, wala hiyo team.

Hakuna kipya utakuja nacho zaidi ya kuniletea porojo tu za kuunga on whatever makes sense in your head; wakati uhalisia wa jinsi mambo yanavyofanyika huko huna hata abc za project management.

👋
 
Mhh inavyoonekana mwendazake alikuingizia mimba si Kwa kumchamba huko kama demu mwenye mimba ya miezi 6
 
kuna kipindi waziri kalemani alionekana kwenye tv akimlalamikia mkandarasi kwa kujenga chini ya Kiwango kwa kujenga nguzo chache kwenye ukuta wa bwawa tofauti na inavyotakiwa na kuweka wasimamizi wataalamu wachache .
Unaweza kushare nasi video hiyo tafadhali🙏
 
Hebu engineers waje kutupa taaluma hapa, hivi si kuna kile kipindi kinaitwa defects liability period ambapo mkandarasi anatakiwa kurekebisha shida zote zilizojitokeza kabla ya kukabidhi final? Au nimekosea? Mimi siyo engineer.
Wakulaumiwa ni engineer Herse mana karud jana toka Rwanda!
 
Duniani kuna vituko, yaani Bwawa la Nyerere JPM alilikuta akavuruga mchakato wa ujenzi?, serious au hujui usemacho?
 
Umejibu Kwa ufasaha na UKWELI wa mazingira ktk uhalisia wake.

Nadhani tunahitaji kupiga hatua kuingia ndani ya ulingo kuliko kuwa watizamaji na washauri wanaopuuzwa!!

Ila tu wasijesema tunachanganya dini na siasa!!
 
Duniani kuna vituko, yaani Bwawa la Nyerere JPM alilikuta akavuruga mchakato wa ujenzi?, serious au hujui usemacho?
Usiingie kwenye mtego wake kuanza kutafuta wa kumlaumu.

Mada inajieleza, Tunataka Tume huru iundwe kuchunguza,

Mada haisemi nani alaumiwe Kwa Kutokea nyufa katika Kuta za Bwawa!!
 
Huo uwepo wa nyufa kautangaza na nani?
Unataka tusubiri kutangaziwa sio?

Tangazo la Tanesco Leo Umesikika au kusoma popote wakikanusha kuwepo Kwa nyufa katika Kuta za Bwawa?

Mbona umechelewa, tuko macho na Nchi yetu na pesa za umma!!
 
Ndiyo tatizo hilo, kitafutwe nini tena na tatizo linajulikana? Pafanyiwe ufundi tu.
Pafanyiwe ufundi gani? Ni lazima kwanza kipara na maharage wake watoswe kwa uzembe kushindwa usimamizi.
 
Tungekuwa na Serikali, upuuzi kama huu usingetokea na kama ungetokea, hatua kali sana zingechukuliwa dhidi ya wanaohusika.
 
Katika Mkataba FAKE wa Bandari ulitoa ushauri na kujitambulisha kama Mwanasheria mbobevu!!

Leo unaongea kama Engineer uliyebobea,

Sasa kuondoa huu UKANJANJA na sintofahamu,

Mada inapendeleza iundwe Tume huru kulichunguza jambo hili Kwa Maslahi ya walipakodi wataolipa Trilioni zaidi ya 6 za mradi.

Ni hatari kuwaacha Tanesco na mkandarasi pekee KUJICHUNGUZA!!
 
Ikiwezekana kamati hiyo huru ihusishe wataalamu Kutoka nje ya Serikali na nje ya nchi kupata UKWELI Ili kupendekeza solution sahihi.
Nje ya nchi kweli, kwa wazungu, sio nao hawakutaka bwawa lijengwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…