- Thread starter
- #81
Kwamba aliyekuwa waziri wa Nishati, kabla ya Biteko alikuwa akijinadi na Maharage kuwa wao Wana team Bora ya Project magagement.Halafu sasa ilikuwa ukiwasikiliza Makamba na MD wa TANESCO; sisi tunafanya mambo kisayansi tuna team nzuri ya project management.
Sasa ‘project management’ ya mradi kama huo unatarajia ina organisation strurcture yake amongst its members a ‘designer/quality manager’ wa project. Kwa mradi kama huo team yake walau iwe ni civil engineer na mtaalamu wa fluid mechanics.
Kabla ya mradi kuanza mnakubaliana viwango vya kazi na mkandarasi, yote yanakuwa kwenye mkataba wa ‘project charter’. Jukumu la quality manager na team yake ni kutupia jicho katika kila task as it develops kuhakikisha kazi inafanyika kwa viwango vya makubaliano.
Iweje leo tuambiwe bwawa linanyufa tayari; hao wahusika walikuwa wanashughuli ya kusimamia nini huko. Mind you uwezi compromise quality ya mradi au kufanya diverge from the initial project charter bila ya baraka za client.
Kwa kifupi ni kwamba contractor walikuwa wanauwezo wa kulipua kazi kwa sababu wasimamizi wetu ni tia maji tia maji hawana uelewa wa bench marks za quality ya tasks wanazosimamia. That’s the logical explanation.
Si tungepeleka team yetu hata Ethiopia kupewa elimu ya usimamizi kuliko huu upuuzi unaojitokeza, better still tungemleta tu project manager aliesimamia bwala lao ajekutusaidia kama consultant wa TANESCO.
Hakuna kitu watanzania tunaweza.,
Kusoma mambo na kuiga, hakukupi uelewa mpana unaonafanana na anaeandika hayo. Just get diaspora back kwenye hiyo nchi.
Uchunguzi makini wa HAKI unahitajika.
Vijijini watu hawana pesa ya kuhudumia watoto wao bima za AFYA, wasikie Bwawa lao walilokopewa Lina nyufa na hakijakamilika!!!