PreGE2025 Ushauri: Jakaya Kikwete pumzika kufanya siasa usije kujivunjia Heshima uliyojijengea kwa muda mrefu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Lancashire

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2014
Posts
14,081
Reaction score
10,455
Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini inaweza kuvunjika ndani ya saa 1 tu usipokuwa makini.

Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa Rais mstaafu Jakaya Kitwete tangu alipostaafu mpaka sasa kuanzia utawala wa marehemu JPM na sasa Rais Samia. Nakiri Jakaya kuwa ni mwanasiasa mtulivu mwenye hekima na busara katika maamuzi yake tangu akiwa kiongozi ( Rais) lakini binafsi naona kwa sasa ni wakati muafaka wa Mzee wetu huyu kupumzika.

Jakaya kwa tunaomjua Huwa Hana papara anapotaka kushughulikia jambo lake na hulifanya kwa ustadi na kwa mafanikio makubwa. Katika utawala huu wa miaka hii minne ya huyu mama kwa mtazamo wangu Jakaya ameingia Moja kwa Moja "direct" kwa baadhi ya masuala muhimu ya kichama na kiserikali .

Siyo jambo baya ila tu nionavyo wakati wake umepita. Kwa sasa awaache wanachama wengine wafanye yao nasema haya nikijua ushawishi alionao kama Rais mstaafu unaweza kuyumbisha chama na serikali kwa maslahi ya ndugu zake au marafiki zake (tusisahau Kila binadamu ni mbinafsi kwa asili)

Samia ushauri wa Bure kwako tumia washauri uliowateua wakushauri iwe ni kisiasa, kiuchumi , kijamii n. K lakini sijakwambia usisikilize ushauri wa viongozi wastaafu.

JK kama utasoma Tafadhali usije dhania kuwa nakuonea wivu HAPANA. Ila tu nilipenda kuona kwa sasa unajitenga na shughuli za kiserikali najua muda mwingine Rais Samia anaamua kama Rais kukutuma sehemu mbalimbali lakini mwambie wakati wako umepita na wengine washike kijiti.

Alamsikii.
 
Naunga mkono hoja.

Jakaya tunamheshimu sana pamoja na mapungufu yake mengi sana.

Kwa nchi ilipofika saivi ni vizuri akakaa kimya tu maana hata yeye kipindi cha Magufuli aliongea alipokuwa anaona mambo hayako sawa.

Ni vizuri akae kimya kujitunzia heshima yake ndogo aliyobaki nayo maana haya yanayofanyika saivi akiendelea kuyatetea yeye ndo atahusishwa nayo moja kwa moja
 
Mkuu hasira za kupigwa tone tone unazimalizia kwa JK. Huyo sio Rais tu, bali ni stateman.
 
Naunga mkono hoja.

Jakaya tunamheshimu sana pamoja na mapungufu yake mengi sana.

Kwa nchi ilipofika saivi ni vizuri akakaa kimya tu maana hata yeye kipindi cha Magufuli aliongea alipokuwa anaona mambo hayako sawa.

Ni vizuri akae kimya kujitunzia heshima yake ndogo aliyobaki nayo maana haya yanayofanyika saivi akiendelea kuyatetea yeye ndo atahusishwa nayo moja kwa moja
JK ni statesman kama ana afya, anaweza kuendelea kusaidia baadhi ya majukumu ya Rais aliyeko madarakani, kama akiona inafaa kufanya hivyo.
 
Astaafu wakati saivi ndo anakula kwa mrija kwa urefu wa kamba yake. Ndugu marafiki jamaa zake wanajichotea mihela. Jk hawezi kustaafu jua anamwandaa raisi ajaye endapo akiwa hai.
 
Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini inaweza kuvunjika ndani ya saa 1 tu usipokuwa makini.

Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa Rais mstaafu Jakaya Kitwete tangu alipostaafu mpaka sasa kuanzia utawala wa marehemu JPM na sasa Rais Samia. Nakiri Jakaya kuwa ni mwanasiasa mtulivu mwenye hekima na busara katika maamuzi yake tangu akiwa kiongozi ( Rais) lakini binafsi naona kwa sasa ni wakati muafaka wa Mzee wetu huyu kupumzika.

Jakaya kwa tunaomjua Huwa Hana papara anapotaka kushughulikia jambo lake na hulifanya kwa ustadi na kwa mafanikio makubwa. Katika utawala huu wa miaka hii minne ya huyu mama kwa mtazamo wangu Jakaya ameingia Moja kwa Moja "direct" kwa baadhi ya masuala muhimu ya kichama na kiserikali .

Siyo jambo baya ila tu nionavyo wakati wake umepita. Kwa sasa awaache wanachama wengine wafanye yao nasema haya nikijua ushawishi alionao kama Rais mstaafu unaweza kuyumbisha chama na serikali kwa maslahi ya ndugu zake au marafiki zake (tusisahau Kila binadamu ni mbinafsi kwa asili)

Samia ushauri wa Bure kwako tumia washauri uliowateua wakushauri iwe ni kisiasa, kiuchumi , kijamii n. K lakini sijakwambia usisikilize ushauri wa viongozi wastaafu.

JK kama utasoma Tafadhali usije dhania kuwa nakuonea wivu HAPANA. Ila tu nilipenda kuona kwa sasa unajitenga na shughuli za kiserikali najua muda mwingine Rais Samia anaamua kama Rais kukutuma sehemu mbalimbali lakini mwambie wakati wako umepita na wengine washike kijiti.

Alamsikii.
Watu wa Pwani wana Tamaa na wanapenda mno ukubwa, mwangalie Ulega na kizungu chake cha ugoko, hao ndio timu kikwete
 
Mtoa mada nikuume sikio, hakuna mwanamke atajiongoza na kujiamulia, hata kama ana uhuru wa kufanya hivyo, bila kuwa na watu wa kumshauri anaowaamini hata kama hawako na uwezo wa kumshauri. Hakuna mwanamke wa namna hiyo toka dunia kuumbwa.
Mwanamke ni mtu asiejiamini na kitu chochote alichonacho, iwe ni mali, madaraka au cheo.

I did not create the rules, nature did.
 
Huyu hashauriwi na Kikwete
 
Back
Top Bottom