Kizee kinafiki chenye mke mwenye tamaa tani 200Kizee kinafiki sana.
Kizee kinafiki chenye mke mwenye tamaa tani 200Kizee kinafiki sana.
Vp, alimpyambya mkeo halafu anasema hajampyambya?!!!Kizee kinafiki sana.
Ndo shida ya chadema chakavu; ubaguzi wa kikanda na kidini......hili ndilo lililomo myoyoni mwa wanachadema chakavu.Watu wa Pwani wana Tamaa na wanapenda mno ukubwa, mwangalie Ulega na kizungu chake cha ugoko, hao ndio timu kikwete
Hahahahahaaaaaaa!!!Mkuu hasira za kupigwa tone tone unazimalizia kwa JK. Huyo sio Rais tu, bali ni stateman.
Huyu ni snitch tu! Jana msibani nimemsikia alisema Mzee Msuya hakuwa mtu wa press conference. Nikajua ni dongo kwa mpambanaji wetu mpendwa haki wetu na mtetezi wetu Mzee Warioba. Na ndio nikagundua huyu msogaz ni wale wale tu!Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini inaweza kuvunjika ndani ya saa 1 tu usipokuwa makini.
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa Rais mstaafu Jakaya Kitwete tangu alipostaafu mpaka sasa kuanzia utawala wa marehemu JPM na sasa Rais Samia. Nakiri Jakaya kuwa ni mwanasiasa mtulivu mwenye hekima na busara katika maamuzi yake tangu akiwa kiongozi ( Rais) lakini binafsi naona kwa sasa ni wakati muafaka wa Mzee wetu huyu kupumzika.
Jakaya kwa tunaomjua Huwa Hana papara anapotaka kushughulikia jambo lake na hulifanya kwa ustadi na kwa mafanikio makubwa. Katika utawala huu wa miaka hii minne ya huyu mama kwa mtazamo wangu Jakaya ameingia Moja kwa Moja "direct" kwa baadhi ya masuala muhimu ya kichama na kiserikali .
Siyo jambo baya ila tu nionavyo wakati wake umepita. Kwa sasa awaache wanachama wengine wafanye yao nasema haya nikijua ushawishi alionao kama Rais mstaafu unaweza kuyumbisha chama na serikali kwa maslahi ya ndugu zake au marafiki zake (tusisahau Kila binadamu ni mbinafsi kwa asili)
Samia ushauri wa Bure kwako tumia washauri uliowateua wakushauri iwe ni kisiasa, kiuchumi , kijamii n. K lakini sijakwambia usisikilize ushauri wa viongozi wastaafu.
JK kama utasoma Tafadhali usije dhania kuwa nakuonea wivu HAPANA. Ila tu nilipenda kuona kwa sasa unajitenga na shughuli za kiserikali najua muda mwingine Rais Samia anaamua kama Rais kukutuma sehemu mbalimbali lakini mwambie wakati wako umepita na wengine washike kijiti.
Alamsikii.
Yeye mwenyewe na watoto wake wanaishi simple life, kuliko huo ufisadi anao u-promote.Huyu ni snitch tu! Jana msibani nimemsikia alisema Mzee Msuya hakuwa mtu wa press conference. Nikajua ni dongo kwa mpambanaji wetu mpendwa haki wetu na mtetezi wetu Mzee Warioba. Na ndio nikagundua huyu msogaz ni wale wale tu!
Samia anatakiwa kumpumzisha kwa maslahi ya taifa.Anaachaje y ndio remote
HAPANA utakuwa umenifananisha ndugu.Nape ni wewe ndugu yangu
Mlimtukana sana akiwa raisKizee kinafiki sana.
Atumie muda mwingi kufanya mazoezi na kucheza na wajukuu kwasasa . Akiendelea hivi Kuna siku ataiporomosha vibaya sana Heshima yake Jana pale msibani mwanga nimemsikiliza muda wote anahitaji kupumzisha akili kwa sasa.Mstaafu asietaka kustaafu.
Hivi kwa sasa Jakaya atakanyaga nini na ili twende wapi? Tunamuheshimu na wakati wake umepita awaachie na wengine . Amuige Mzee kinana tena ni rafiki yakeMlimtukana sana akiwa rais
Leo mnasema amejijengea heshima…. Heshima gani
Kila mtu kwenu ni mbaya hqdi afe au astaafu
Jakaya kanyaga twende
Achana na haya mandumuz
Unamsifu kuwa ana busara na ana Hekima na hana papara kisha baadaye unamwambia akae pembeni ??????! 😳😳😳Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini inaweza kuvunjika ndani ya saa 1 tu usipokuwa makini.
Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa Rais mstaafu Jakaya Kitwete tangu alipostaafu mpaka sasa kuanzia utawala wa marehemu JPM na sasa Rais Samia. Nakiri Jakaya kuwa ni mwanasiasa mtulivu mwenye hekima na busara katika maamuzi yake tangu akiwa kiongozi ( Rais) lakini binafsi naona kwa sasa ni wakati muafaka wa Mzee wetu huyu kupumzika.
Jakaya kwa tunaomjua Huwa Hana papara anapotaka kushughulikia jambo lake na hulifanya kwa ustadi na kwa mafanikio makubwa. Katika utawala huu wa miaka hii minne ya huyu mama kwa mtazamo wangu Jakaya ameingia Moja kwa Moja "direct" kwa baadhi ya masuala muhimu ya kichama na kiserikali .
Siyo jambo baya ila tu nionavyo wakati wake umepita. Kwa sasa awaache wanachama wengine wafanye yao nasema haya nikijua ushawishi alionao kama Rais mstaafu unaweza kuyumbisha chama na serikali kwa maslahi ya ndugu zake au marafiki zake (tusisahau Kila binadamu ni mbinafsi kwa asili)
Samia ushauri wa Bure kwako tumia washauri uliowateua wakushauri iwe ni kisiasa, kiuchumi , kijamii n. K lakini sijakwambia usisikilize ushauri wa viongozi wastaafu.
JK kama utasoma Tafadhali usije dhania kuwa nakuonea wivu HAPANA. Ila tu nilipenda kuona kwa sasa unajitenga na shughuli za kiserikali najua muda mwingine Rais Samia anaamua kama Rais kukutuma sehemu mbalimbali lakini mwambie wakati wako umepita na wengine washike kijiti.
Alamsikii.
Mama hakanyagi muacheniHivi kwa sasa Jakaya atakanyaga nini na ili twende wapi? Tunamuheshimu na wakati wake umepita awaachie na wengine . Amuige Mzee kinana tena ni rafiki yake
Anajiharibia mwishoni kabisaHakufanya vyema wananga wazee. Hili naona kama lita mgharimu.
😀😀😀 umenifurahisha na huu ukweli mchungu. So na hii ni nature?Mwanamke ndio kiumbe pekee, anaweza kuogopa kulala peke yake usiku kwenye chumba chake, akaenda kulala chumba cha mtoto mdogo na akajihisi yupo salama, na uoga wote ukaisha.
Sasa jiulize hako katoto kadogo, katamsaidia vipi wezi au majambazi wakija. 😁