Uwa mnadhani tunaandika upuuzi humu
'Life Events' published in 'Encyclopedia of Quality of Life and Well-Being Research'
link.springer.com
Wazungu awafundishi masomo ya psychological intervention bure bure,
Ni miaka mingapi tunawaambia shida ya JK ni kuzoea madaraka (hiyo ni addiction pia) ambayo ajaweza iacha it has been his lifestyle since his mid 20’s
Ndio msingi wa hiyo module, sasa binafsi nishawapostia entire syllabus ya health and social care management ina mambo kibao ya maswala ya jamii.
Shida yenu uwezo, ndio ukweli
Otherwise if you are an analyst you can tell shida ya JK ni mental.
Financial tuko stable sio kwa marupu ya serikali au shady business alizonazo.
Biashara halali tu JK ni mmoja wa wasambazi wakubwa wa maziwa kutoka shambani kwake Msoga.
Na hii kauli nairudia tena, JK hakuwa baba wa mzaha kwa watoto, alikuwa tayari kuwa support kufukia ndoto zao bila ya kumtegemea yeye.
Watoto wa JK wote wanajitegemea. JK anadekeza watoto wa rafiki zake sio wake. Watoto wake wanaishi maisha yao ya kukutegemea kwa vipato vyao vya mbinu zao.
J.K shida yake ni mental ya kuzoea power na decision making, kupiga deal; for personal satisfaction..