Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,616
- 14,106
Huwa napenda sana michango y'ako maana hujaa maarifa na mafunzo,ebu mkuu tia nyama zaidi kwenye kipengele Cha JK hana uwezo wa kushauri chama na nchi kwa ujumla.Hakuna uzito wowote, hiyo ni known knowledge.
Nchi zilizoendelea viongozi ambao wana serve limited terms zinazo ruhusiwa.
Wakibarikiwa kupata maximum term, miaka ya mwisho; kuna psychological intervention ya kuishi nje ya powers.
But then kuna viongozi mataahira ambao sio career politicians, they don’t political etiquette kama Donald Trump.
Trump ame expose US zilizoendelea, US security mechanisms ni weak.
Turudi kwetu J.K financially hana shida kwa pension yake, watoto wake hawana shida, yeye mwenye Msoga tu (kwa kilimo hana shida).
Ni babu mmoja tu, ambae mwenye uchu wa maamuzi tu.
Technically hana wit wa kushauri chama au nchi, ana opportunity ya kufanya hivyo leo kutokana na nafasi alizowahi shika huko nyuma.
Lakini Jakaya Kikwete hana technical knowledge ya kukishauri CCM au nchi,
Labda akushauri kupambana na majungu ya siasa. Vinginevyo hana huo uwezo wa kushauri dira za chama au nchi.
Tafadhari.