PreGE2025 Ushauri: Jakaya Kikwete pumzika kufanya siasa usije kujivunjia Heshima uliyojijengea kwa muda mrefu

PreGE2025 Ushauri: Jakaya Kikwete pumzika kufanya siasa usije kujivunjia Heshima uliyojijengea kwa muda mrefu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mlimtukana sana akiwa rais

Leo mnasema amejijengea heshima…. Heshima gani

Kila mtu kwenu ni mbaya hqdi afe au astaafu

Jakaya kanyaga twende

Achana na haya mandumu
Utawala unaoongoza kwa skendo za ufisadi ni wa huyo unayemtetea.
Ni Fisadi na ni baba wa mafisadi Tz
 
Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini inaweza kuvunjika ndani ya saa 1 tu usipokuwa makini.

Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa Rais mstaafu Jakaya Kitwete tangu alipostaafu mpaka sasa kuanzia utawala wa marehemu JPM na sasa Rais Samia. Nakiri Jakaya kuwa ni mwanasiasa mtulivu mwenye hekima na busara katika maamuzi yake tangu akiwa kiongozi ( Rais) lakini binafsi naona kwa sasa ni wakati muafaka wa Mzee wetu huyu kupumzika.

Jakaya kwa tunaomjua Huwa Hana papara anapotaka kushughulikia jambo lake na hulifanya kwa ustadi na kwa mafanikio makubwa. Katika utawala huu wa miaka hii minne ya huyu mama kwa mtazamo wangu Jakaya ameingia Moja kwa Moja "direct" kwa baadhi ya masuala muhimu ya kichama na kiserikali .

Siyo jambo baya ila tu nionavyo wakati wake umepita. Kwa sasa awaache wanachama wengine wafanye yao nasema haya nikijua ushawishi alionao kama Rais mstaafu unaweza kuyumbisha chama na serikali kwa maslahi ya ndugu zake au marafiki zake (tusisahau Kila binadamu ni mbinafsi kwa asili)

Samia ushauri wa Bure kwako tumia washauri uliowateua wakushauri iwe ni kisiasa, kiuchumi , kijamii n. K lakini sijakwambia usisikilize ushauri wa viongozi wastaafu.

JK kama utasoma Tafadhali usije dhania kuwa nakuonea wivu HAPANA. Ila tu nilipenda kuona kwa sasa unajitenga na shughuli za kiserikali najua muda mwingine Rais Samia anaamua kama Rais kukutuma sehemu mbalimbali lakini mwambie wakati wako umepita na wengine washike kijiti.

Alamsikii.
Kwa kipi alichofanya? kana ni kutoa hotuba kwenye maziko ya cd,ilikuwa ni lazima aongee,na anapoongea hafanyi siasa bali anatimiza wajibu wake.
 
Mizee kinafiki chenye mke mwenye tamaa tani 200
Hakika,
Eti wenza wa wastaafu nao walipwe mafao,
Unafiki, ubinafsi na ulafi wametanguliza.

Je wenza wa Wastaafu wanajeshi, madaktari, waalimu na wafanyakazi wote wa umma nao wakidai wenza wao walipwe mafao, hazina kutabaki kitu?
Je kodi ya nchi itaweza kufanya maendeleo au itaishia kwenye mafao?
Kizee, mkewe, Spika na Bunge hovyo.
 
Huyu ni snitch tu! Jana msibani nimemsikia alisema Mzee Msuya hakuwa mtu wa press conference. Nikajua ni dongo kwa mpambanaji wetu mpendwa haki wetu na mtetezi wetu Mzee Warioba. Na ndio nikagundua huyu msogaz ni wale wale tu!
Warioba nae amezidi aisee, Mtu mwenye room ya Kumuona Mkuu wa Nchi kadri atakavyo kwanini anakimbilia Kwenye media sasa?
na tayari ni mstaafu kwanini Uyo warioba asikae akalea Wajukuu wake?
 
Hakika,
Eti wenza wa wastaafu nao walipwe mafao,
Unafiki, ubinafsi na ulafi wametanguliza.

Je wenza wa Wastaafu wanajeshi, madaktari, waalimu na wafanyakazi wote wa umma nao wakidai wenza wao walipwe mafao, hazina kutabaki kitu?
Je kodi ya nchi itaweza kufanya maendeleo au itaishia kwenye mafao?
Kizee, mkewe, Spika na Bunge hovyo.
Kimeanzisha hadi Umoja wa Wake wa Viongozi, kinakomaa na Ubunge na sasa kimekomaa wake wa viongozi walipwe wakati waume zao mpaka leo bado wanapokea 80% ya mishahara.

Kulipa pension wake wa viongozi inakiuka katiba na sheria kwasababu hawajawahi kifanya kazi.
 
Kizee kinafiki chenye mke mwenye tamaa tani 200
Watu wa system na Wazee walifanya kosa kubwa saaaaaana kukapa nchi haka kasanii na kamesababisha hata hii namba 6 nayo usanii kuwa dhahiri zaidi,
Na sasa wasanii kupewa kipaumbele kuliko wasomi.
Ukitaka kujua wanachoweza ni usaini maigizo na vibahasha kwenye vyombo ili wapambwe kila mahali
Royal Tour movie,
Wanachoweza 4&6 ni hicho tu.
 
Kimeanzisha hadi Umoja wa Wake wa Viongozi, kinakomaa na Ubunge na sasa kimekomaa wake wa viongozi walipwe wakati waume zao mpaka leo bado wanapokea 80% ya mishahara.

Kulipa pension wake wa viongozi inakiuka katiba na sheria kwasababu hawajawahi kifanya kazi.
Ningekuwa malaika Yule wa Middle east hawa ningefanya kitu kwa ustawi wa taifa
 
Yeye mwenyewe na watoto wake wanaishi simple life, kuliko huo ufisadi anao u-promote.

JK anatembelea Nissan sijui gani ya serikali na vi’ngora vya serikali.

Mafisadi anayoyalinda gari la kupelekea watoto zao shule tu £400,000 (sijakosea sign ni pound).

Why are you doing that if you are not a sick person.

Na watoto wake ndio wamekulia privilege lakini kwa sasa wana maisha yao na wapo comfortable na routine zao.

Shida ni yeye JK na Mkewe, walau basi angeonyesha tamaa ya maisha ya anasa.

Nyumba ya JK Msoga uwezi ifananisha na hekalu la marehemu Sita kawę.

JK sio yeye wala mtoto wake mwenye Benz, Ferrari, McLaren, Lamborghini, likiwanda la maana Tanzania, nyumba zenye hadhi za mafisadi yaliyo kubuhu.

Jumba la maana JK analomiliki kajengewa na Magufuli (nyumba yake ya Kawe).

Vinginevyo ni kababu kamoja hivi ambako na kenyewe kanataka kuonekana na lenyewe kamo tu; ilimradi,

Ndio idea yake ya kuitwa mtoto wa mjini, what a pathetic old man.
Kikwete ni FISADI ambalo mali zake ziko chini ya GSM.

Wakati wa utawala wake walikuwa wanjiemdesha chini ya Home Shopping Center.

Alipoingia Magufuli, fatser wakaua Home shopping center wakaanzisha GSM.

Sasa hivi, kazi yao ni ki-concentrate mavyeo tu, FAMILIA nzima, hata watu wanatekwa wanauliwa hayajali.
 
Hilo lipo wazi kiongozi

Ndio msingi wa kuulizana bora basi aishi maisha ya anasa hapa duniani.

Kama sio yeye, walau watoto wake watese.

Yaani wapambe wana raha kuliko wenye mali.

Mind you kaka yake JK kafa maskini na wala nephew zake sio matajiri.

The same can’t be said ata kwa Magufuli na kwa bi-tozo ndio kabisa. Huyo Mwinyi huko Zanzibar nasikia ni balaa kwa sasa.

Halafu JK kawa zidi wote, sasa ndio nini kama sio mental issue; walau basi awe na mtoto mwenye kufuja hiyo mihela vinginevyo azikwi nazo.

One thing ambacho ndugu wa Samia na Mwinyi wana enjoy wazi wazi. Sio JK kaka yake kafariki maskini pamoja na utajiri wa mkewe.

Regina Lowassa alikataa ubunge wa kupewa kwa sababu wana hela za kutosha. Huyo Fred Lowassa sijui ata kama bungeni ameshafika.

Salma Kikwete yeye bado anachukua nafasi za maskini ubunge wa nini.

Ndio maana sioni Kikwetes kama watu wa anasa, zaidi ya watu wanaopenda power tu na kuwa relevant.
 
Nikumuwaza huyu baba na;
1. Escraw
2. mikataba ile mibovu ya gas iliyopitishwa "usiku wa manane" na bunge la ccm.
Huwa sipendi kabisa awamu yake!
 
Nikumuwaza huyu baba na;
1. Escraw
2. mikataba ile mibovu ya gas iliyopitishwa "usiku wa manane" na bunge la ccm.
Huwa sipendi kabisa awamu yake!
Anahusika vipi na hayo mambo?

Ungeijua vipi escrow bila ya serikali yake kutaka kusikilizwa na kupata ufumbuzi.

Nani alijua kulikuwa na account ya escrow kabla ya serikali ya JK kutaka mgogoro ukasikilizwe mahakamani.

Wewe ulijuliwa wapi hayo mambo bila ya JK kutaka hayo mambo yawe wazi.

Serikali ya Tanzania mpaka sasa inamkataba gani wa gas ambao JK ali-sign zaidi ya songo-songo ambao usha-expire walio renew ni hakina Makamba kipindi cha Samia.

Sisemi JK saint ila abebe lawama zake halisi sio haya mambo yetu ya kufikirika.
 
Mkuu hasira za kupigwa tone tone unazimalizia kwa JK. Huyo sio Rais tu, bali ni stateman.
Zakayo mfupi una akili kama jina lako!
Kwenye mgao wa kuuzwa kwa bandari wewe ulipata NGAPI?
Tuanzie hapo kabla ya tonetone
 
Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini inaweza kuvunjika ndani ya saa 1 tu usipokuwa makini.

Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa Rais mstaafu Jakaya Kitwete tangu alipostaafu mpaka sasa kuanzia utawala wa marehemu JPM na sasa Rais Samia. Nakiri Jakaya kuwa ni mwanasiasa mtulivu mwenye hekima na busara katika maamuzi yake tangu akiwa kiongozi ( Rais) lakini binafsi naona kwa sasa ni wakati muafaka wa Mzee wetu huyu kupumzika.

Jakaya kwa tunaomjua Huwa Hana papara anapotaka kushughulikia jambo lake na hulifanya kwa ustadi na kwa mafanikio makubwa. Katika utawala huu wa miaka hii minne ya huyu mama kwa mtazamo wangu Jakaya ameingia Moja kwa Moja "direct" kwa baadhi ya masuala muhimu ya kichama na kiserikali .

Siyo jambo baya ila tu nionavyo wakati wake umepita. Kwa sasa awaache wanachama wengine wafanye yao nasema haya nikijua ushawishi alionao kama Rais mstaafu unaweza kuyumbisha chama na serikali kwa maslahi ya ndugu zake au marafiki zake (tusisahau Kila binadamu ni mbinafsi kwa asili)

Samia ushauri wa Bure kwako tumia washauri uliowateua wakushauri iwe ni kisiasa, kiuchumi , kijamii n. K lakini sijakwambia usisikilize ushauri wa viongozi wastaafu.

JK kama utasoma Tafadhali usije dhania kuwa nakuonea wivu HAPANA. Ila tu nilipenda kuona kwa sasa unajitenga na shughuli za kiserikali najua muda mwingine Rais Samia anaamua kama Rais kukutuma sehemu mbalimbali lakini mwambie wakati wako umepita na wengine washike kijiti.

Alamsikii.
Ushauri huo ungempa mumeo bibie....Jk sio level zako
 
Mtoa mada nikuume sikio, hakuna mwanamke atajiongoza na kujiamulia, hata kama ana uhuru wa kufanya hivyo, bila kuwa na watu wa kumshauri anaowaamini hata kama hawako na uwezo wa kumshauri. Hakuna mwanamke wa namna hiyo toka dunia kuumbwa.
Mwanamke ni mtu asiejiamini na kitu chochote alichonacho, iwe ni mali, madaraka au cheo.

I did not create the rules, nature did.
Ukweli mchungu
 
Back
Top Bottom