PreGE2025 Ushauri: Jakaya Kikwete pumzika kufanya siasa usije kujivunjia Heshima uliyojijengea kwa muda mrefu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwanamke ndio kiumbe pekee, anaweza kuogopa kulala peke yake usiku kwenye chumba chake, akaenda kulala chumba cha mtoto mdogo na akajihisi yupo salama, na uoga wote ukaisha.

Sasa jiulize hako katoto kadogo, katamsaidia vipi wezi au majambazi wakija. 😁
 
Kwamba hawa wanaotekwa na kuuawa ni ushauri wa Kikwete?

Hilo la kuteka na kuua watu, sujui ni nani kalileta. Lakini, JK is almost everywhere in this term. He's coming back and forth.

Toka mama amechukua nchi, JK ndie "confidant" and "right hand man".
Chain yote ya JK, mama aliwarudisha kwenye vyeo. Naweza kuwataja.

Subiri utaona kampeni zitakavyo endeshwa toka Msoga ndo utajua.
Ema ni proposal ya JK kuwa Makamu. Huyo Ema ni mtoto pendwa wa JK toka UVCCM huko. Huyo Ema, Jiwe tuu ndo hakumpenda akamficha ubalozinu huko kwa kina Pele. Ila Ema hakukosa cheo enzi za JK, na JK ndo alipigania Ema kuwa Katibu Mkuu and shortly afterwards becoming V.P runner.....

JK ndio "stunt" kumuuza Janabi, na JK na Janabi hawajakutana barabarani. JK juzi kati hapo alikuwa na Waziri wa fedha kwenye vikao nyeti vya benki ya dunia.

JK ni mtoto wa mjini, muone vile vile anatabasamu, kucheka na kuweka visa. He's is definitely a chess player.
 
Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini inaweza kuvunjika ndani ya saa 1 tu usipokuwa makini.

Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa Rais mstaafu Jakaya Kitwete tangu alipostaafu mpaka sasa kuanzia utawala wa marehemu JPM na sasa Rais Samia. Nakiri Jakaya kuwa ni mwanasiasa mtulivu mwenye hekima na busara katika maamuzi yake tangu akiwa kiongozi ( Rais) lakini binafsi naona kwa sasa ni wakati muafaka wa Mzee wetu huyu kupumzika.

Jakaya kwa tunaomjua Huwa Hana papara anapotaka kushughulikia jambo lake na hulifanya kwa ustadi na kwa mafanikio makubwa. Katika utawala huu wa miaka hii minne ya huyu mama kwa mtazamo wangu Jakaya ameingia Moja kwa Moja "direct" kwa baadhi ya masuala muhimu ya kichama na kiserikali .

Siyo jambo baya ila tu nionavyo wakati wake umepita. Kwa sasa awaache wanachama wengine wafanye yao nasema haya nikijua ushawishi alionao kama Rais mstaafu unaweza kuyumbisha chama na serikali kwa maslahi ya ndugu zake au marafiki zake (tusisahau Kila binadamu ni mbinafsi kwa asili)

Samia ushauri wa Bure kwako tumia washauri uliowateua wakushauri iwe ni kisiasa, kiuchumi , kijamii n. K lakini sijakwambia usisikilize ushauri wa viongozi wastaafu.

JK kama utasoma Tafadhali usije dhania kuwa nakuonea wivu HAPANA. Ila tu nilipenda kuona kwa sasa unajitenga na shughuli za kiserikali najua muda mwingine Rais Samia anaamua kama Rais kukutuma sehemu mbalimbali lakini mwambie wakati wako umepita na wengine washike kijiti.

Alamsikii.
Hakufanya vyema wananga wazee. Hili naona kama lita mgharimu.
 
Unafiki mkubwa huu, huu utekaji na uuaji na kuwapeleka watu Mwanepande ulianza na Kikwete, Dr Ulimboka, Absolom Kibanda etc etc kutolewa meno na kucha, mmesahau? Wala sijaongelea madawa ya kulevya na Escrow!!
 
Ndie Rais mstaafu pekee tulienae busara, hekima na ushauri wake ni muhimu kwa taifa
 
Hivi huyu ndo aliyekuwa raisi ambaye hakuwahi kumilikisha rasilimali za taifa kwa mabeberu,kwa masirahi yake binafsi eti? Kama ni kweli,basi anastahili heshima,lakini kama sivyo basi hakuwahi kuwa na heshima. Alichonacho cha kuvunjwa ni miguu/mikono tu.
 
Naunga mkono hoja! Awaachie Wazee kama akina Warioba na Butiku wenye uwezo wa kushauri serikali bila kuwa na misimamo ya Chama.
 
Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini inaweza kuvunjika ndani ya saa 1 tu usipokuwa makini.

Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa Rais mstaafu Jakaya Kitwete tangu alipostaafu mpaka sasa kuanzia utawala wa marehemu JPM na sasa Rais Samia. Nakiri Jakaya kuwa ni mwanasiasa mtulivu mwenye hekima na busara katika maamuzi yake tangu akiwa kiongozi ( Rais) lakini binafsi naona kwa sasa ni wakati muafaka wa Mzee wetu huyu kupumzika.

Jakaya kwa tunaomjua Huwa Hana papara anapotaka kushughulikia jambo lake na hulifanya kwa ustadi na kwa mafanikio makubwa. Katika utawala huu wa miaka hii minne ya huyu mama kwa mtazamo wangu Jakaya ameingia Moja kwa Moja "direct" kwa baadhi ya masuala muhimu ya kichama na kiserikali .

Siyo jambo baya ila tu nionavyo wakati wake umepita. Kwa sasa awaache wanachama wengine wafanye yao nasema haya nikijua ushawishi alionao kama Rais mstaafu unaweza kuyumbisha chama na serikali kwa maslahi ya ndugu zake au marafiki zake (tusisahau Kila binadamu ni mbinafsi kwa asili)

Samia ushauri wa Bure kwako tumia washauri uliowateua wakushauri iwe ni kisiasa, kiuchumi , kijamii n. K lakini sijakwambia usisikilize ushauri wa viongozi wastaafu.

JK kama utasoma Tafadhali usije dhania kuwa nakuonea wivu HAPANA. Ila tu nilipenda kuona kwa sasa unajitenga na shughuli za kiserikali najua muda mwingine Rais Samia anaamua kama Rais kukutuma sehemu mbalimbali lakini mwambie wakati wako umepita na wengine washike kijiti.

Alamsikii.
Atavunja heshima yake mara ngapi? Huyu si ndiye aliwaita wenzake tena baadhi ndiyo waliomuinua mpaka hapo alipo wachawi?
 
Hakuna heshima yeyote ya maana aliyojijengea zaidi ya kuwa kituko tu, wenzake wengi wanamuangalia na kumshangaa, sema tu CCM ndiyo wanampa kazi ya kuzurura maduani kwa sababu alizoea kufanya hivyo kipindi akiwa rais, just imagine mtu aliyeshindwa kuendesha nchi yake eti leo hii amekuwa msuluhishi wa migogoro Afrika wakati anashindwa kutatua migogoro iliyopo hapa hapa nchini inayofanywa na chama chake kunyanyasa upinzani, kako kimyaa huku kakicheka tu.
 
JK kama utasoma Tafadhali usije dhania kuwa nakuonea wivu HAPANA. Ila tu nilipenda kuona kwa sasa unajitenga na shughuli za kiserikali najua muda mwingine Rais Samia anaamua kama Rais kukutuma sehemu mbalimbali lakini mwambie wakati wako umepita na wengine washike kijiti.
Mwenye mradi wake ajiondoe. You're asking too much of him!

Hii ni awamu ya Kikwete, extended; na sasa anataka kuondoka na a 'Big Bang" itakayo weka alama isiyofutika ndani ya nchi hii!

Huwezi kumweka pembeni Kikwete na mambo mengi yanayotokea sasa kisiasa ndani ya nchi hii. Project yake ya kumweka Samia madarakani kwa miaka mitano ijayo usifikiri ni mchezo wa lelemama tena. Wapo tayari kwa lolote, mradi Samia abaki madarakani. Kikwete is part and parcel of that arrangement.
Hukuona ushiriki wake katika uteuzi wa ugombea urais ndani ya chama chake? Sasa atakaaje pembeni, wakati kazi ngumu ndiyo imeanza!
 
Kwakweli mimi namuheshimu sana huyu Mzee ningemuomba aweke maslahi ya taifa mbele kuliko maslahi ya CCM.
"Maslahi ya CCM"? You must be joking!
Hakuna maslahi ya CCM wanayoyajali hawa. Noa bongo zako uelewe vizuri kinachoendelea sasa hivi.
Piga akili mkuu 'Imhotep', najuwa uwezo huo unao.
 
Kwamba hawa wanaotekwa na kuuawa ni ushauri wa Kikwete?
Kwani yupo peke yake?
Hili ni genge la watu wachache waliochukua jukumu la kumsimamisha Samia na kumpitisha kuwa rais kwa gharama yoyote ile, hata ya damu kumwagika.
 
Unafiki mkubwa huu, huu utekaji na uuaji na kuwapeleka watu Mwanepande ulianza na Kikwete, Dr Ulimboka, Absolom Kibanda etc etc kutolewa meno na kucha, mmesahau? Wala sijaongelea madawa ya kulevya na Escrow!!
Safari hii anafunga duka kabisa. Tanzania itabadilika kivingine kabisa.
 
Heshima hujengwa kwa muda mrefu lakini inaweza kuvunjika ndani ya saa 1 tu usipokuwa makini.

Nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa Rais mstaafu Jakaya Kitwete tangu alipostaafu mpaka sasa kuanzia utawala wa marehemu JPM na sasa Rais Samia. Nakiri Jakaya kuwa ni mwanasiasa mtulivu mwenye hekima na busara katika maamuzi yake tangu akiwa kiongozi ( Rais) lakini binafsi naona kwa sasa ni wakati muafaka wa Mzee wetu huyu kupumzika.

Jakaya kwa tunaomjua Huwa Hana papara anapotaka kushughulikia jambo lake na hulifanya kwa ustadi na kwa mafanikio makubwa. Katika utawala huu wa miaka hii minne ya huyu mama kwa mtazamo wangu Jakaya ameingia Moja kwa Moja "direct" kwa baadhi ya masuala muhimu ya kichama na kiserikali .

Siyo jambo baya ila tu nionavyo wakati wake umepita. Kwa sasa awaache wanachama wengine wafanye yao nasema haya nikijua ushawishi alionao kama Rais mstaafu unaweza kuyumbisha chama na serikali kwa maslahi ya ndugu zake au marafiki zake (tusisahau Kila binadamu ni mbinafsi kwa asili)

Samia ushauri wa Bure kwako tumia washauri uliowateua wakushauri iwe ni kisiasa, kiuchumi , kijamii n. K lakini sijakwambia usisikilize ushauri wa viongozi wastaafu.

JK kama utasoma Tafadhali usije dhania kuwa nakuonea wivu HAPANA. Ila tu nilipenda kuona kwa sasa unajitenga na shughuli za kiserikali najua muda mwingine Rais Samia anaamua kama Rais kukutuma sehemu mbalimbali lakini mwambie wakati wako umepita na wengine washike kijiti.

Alamsikii.
Kwa kweli huyu mtu inabidi akamatwe tu kwani hana faida yeyote na hili taifa letu alishatutia hasara kitambo tu kwa Wachina kwa kumuokoa mwanaye asinyongwe wakati unga wanauza wenyewe kwa manufaa yao na si kwa faida ya wananchi wa hili taifa.
 
Hilo la kuteka na kuua watu, sujui ni nani kalileta. Lakini, JK is almost everywhere in this term. He's coming back and forth.

Toka mama amechukua nchi, JK ndie "confidant" and "right hand man".
Chain yote ya JK, mama aliwarudisha kwenye vyeo. Naweza kuwataja.

Subiri utaona kampeni zitakavyo endeshwa toka Msoga ndo utajua.
Ema ni proposal ya JK kuwa Makamu. Huyo Ema ni mtoto pendwa wa JK toka UVCCM huko. Huyo Ema, Jiwe tuu ndo hakumpenda akamficha ubalozinu huko kwa kina Pele. Ila Ema hakukosa cheo enzi za JK, na JK ndo alipigania Ema kuwa Katibu Mkuu and shortly afterwards becoming V.P runner.....

JK ndio "stunt" kumuuza Janabi, na JK na Janabi hawajakutana barabarani. JK juzi kati hapo alikuwa na Waziri wa fedha kwenye vikao nyeti vya benki ya dunia.

JK ni mtoto wa mjini, muone vile vile anatabasamu, kucheka na kuweka visa. He's is definitely a chess player.
Hapo kwenye chess hapo ndio Mimi napasubirišŸ˜„
 
Back
Top Bottom