CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Hivi na sisi tuna JESHI kweli??????
JESHI LA KIZAMANI MNO.
JESHI LA KIZAMANI MNO.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sio biashara ya kiraia. Huwezi kuilinganisha biashara hiyo na biashara zinazofanywa na Jeshi la TzKiduku anamuuzia Silaha Putin
Dunia nzima ikiongozwa na Marekani imejaa hofu
Biden aonya Hiyo ni dalili ya Vita ya Dunia
Uchafu. Jeshi la CCMHivi na sisi tuna JESHI kweli??????
JESHI LA KIZAMANI MNO.
Una hoja usikilizweJKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk
Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?
Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?
Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?
Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.
Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Itakuwaje siri wakati anasema tech inayosaidia nchi?Una uhakika gan hawagundui
Vitu vingine ni siri sio kuona kwenye whatasp .
Una uhakika gan hawagundui
Vitu vingine ni siri sio kuona kwenye whatasp .
Kiduku anapenda Vita Mbwa yule hapo anachekelea Ukraine wanavyokufa anaona km wanakufa wamarekaniKiduku anamuuzia Silaha Putin
Dunia nzima ikiongozwa na Marekani imejaa hofu
Biden aonya Hiyo ni dalili ya Vita ya Dunia
Mmesikia mtu kataja Pharmacy ya Mwenge usisahau wana hospitali mbili zinazotambulika kwa hapa Dar Moja ya watoto ipo 'Mwenge Mpakani' na nyingine ni ya wakubwa ipo 'Lugalo' pale palipoitwa 'Colito Barracks'JESHI la kishamba sana.
Wangekuwa na akili.
Maeneo Yao hayo karibu nusu ya nchi.
1. Wangepanda Miti ya mbao, madawati madaftari nk.
2. Wangependa Miti ya matunda.
3. Wangekuwa na Lunch kubwa za kufunga NG'OMBE , KUKU au MBUZI nk.
4. Wangeweza kuwa na kiwanda Chaadawati.
5. Wangeweza kupanda hata mboga mboga kiwalisha WATOTO mashuleni.
6. Mabwawa makubwa ya KISASA ya samaki nk.
TUNA JESHI LA MCHONGO
Jeshi linasubiri bajeti ya kununulia silaha na zana bora badala ya kuspend kusaka vipaji vya wabunifu wa silaha na gadgets.JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk
Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?
Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?
Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?
Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?
Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.
Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Vyote ulivyotaja wanatengeneza wenyewe ... Nilikuwa Tabora nimeona vitu vingi vinafanyika sema ndio vile Kuna wahuni wanachukulia miradi ya jeshi Kama yao.Ajabu ni kuwa utakuta hawawezi hata kutengeneza viatu, nguo, kofia, mikanda, nk vya kuvaa wao wenyewe? Tena viatu wangeweza hata uzia raia na majeshi mengine, ya ndani na ya nje.
Unaogopa kipigo?Naandika nafuta,ngoja nisiseme mimi.
Jeshi la kisiasaJeshi linasubiri bajeti ya kununulia silaha na zana bora badala ya kuspend kusaka vipaji vya wabunifu wa silaha na gadgets.
Nilipokuwa mtoto metibiwa sana ile hospitali ya JW Ujenzi pale Mwenge.Mmesikia mtu kataja Pharmacy ya Mwenge usisahau wana hospitali mbili zinazotambulika kwa hapa Dar Moja ya watoto ipo 'Mwenge Mpakani' na nyingine ni ya wakubwa ipo 'Lugalo' pale palipoitwa 'Colito Barracks'