Ushauri: JWTZ/JKT wajikite kwenye tafiti za kisayansi na teknolojia. Wabuni silaha zao wenyewe

Ila kukamata watu kisa nguo zao ni ushamba mkubwa nenda Rwanda, uganda kenya na hata huko USA wananchi wanavaa nguo za jeshi bila shida
 
JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk

Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?

Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?

Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?

Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?

Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.

Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Hawawezi, unaenda kufundishwa kuvunja matofali kwa technolojia ya leo sijui utampigaje adui yupo umbali wa 800KM kwa tofali, pia wengi ni failure siyo rahisi kuwa na ubunifu
 
JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk

Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?

Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?

Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?

Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?

Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.

Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Jeshi la Misri linafanya biashara hadi ya mikate
 
jeshi la Rwanda ni mfanya biashara mkubwa nchini humo.
 
Hapa Africa jeshi linalo ongoza kwa kufanya biashara (mult billion dollars) ni Egypt wana makampuni makubwa ya ujenzi, viwanda vikubwa na vya kisasa. Alivianzisha Nasser na Baba wa Taifa alijaribu kuchukua ideas hizo kwa kuanzisha vitu kama Mzinga corporation na Nyumbu.
 
JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk

Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?

Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?

Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?

Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?

Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.

Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Kazi ya JKT ni pamoja na uzaliashaji mali
 
Kampuni mama ya Halotel, Vietel inamilikiwa na Jeshi la Vietnam.
 
Watu wengi hawajamuelewa mleta mada.

Yeye hapingi Jeshi kufanya biashara. Lakini siyo biashara za kiraia bhana!!

Hapa Tanzania tupo na makampuni zaidi ya 8 ya maji. Iweje na wewe unakuja kufanya biashara za uchuuzi?

Yani jeshi lijihusishe na upambaji kwenye maharusi. Aaaaaa!!! Hapana jamani.

Tanzania hatuna ngano. Kwanini wasilime ngano?
 
Ujafika Rwanda wewe
Mambo ya kuzuia raia kuvaa nguo za jeshi ni medieval ideas. Je kuna sababu zote za kuzuia mtu kuvaa nguo za jeshi?

Screenshot_20230908-082650.png
 
Hahahaha yaani baada ya kuona jeshi halina hata dalili ya kuunga mkono siasa za chadema na mnaanza kuliponda [emoji23][emoji23][emoji23]kabla ya dp world mbona mlikua mnalisifu
 
JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk

Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?

Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?

Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?

Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?

Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.

Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Dunia inabadilika unaijua viatel/halotel basi ni biashara ya jeshi.Sioni tatizo kwa jeshi kujikita katika biashara na uwekezaji kwani unasaidia kuziba pengo la vijana wavivu wavivu
 
Back
Top Bottom