Ushauri: JWTZ/JKT wajikite kwenye tafiti za kisayansi na teknolojia. Wabuni silaha zao wenyewe

Jeshi
La TZ ni la sita duniani ????????

Nahis umekosea
Labda kwa Afrika Mashariki yenye nchi 7.
Maana kwa hali tuliyo nayo huenda hata Rwanda wako mbele yetu kwa ubora licha ya kwamba walijifunza kwetu karibia kila kitu.
 
Repablican guards, wako. Wale wavamisi wa toabora Afghanistani walikuwa na agenda ya nganda kuuza. Hizo silaha unazohamasisha watengeneze nayo ni lucrative businesi.
 
Na ss hv wanajenga na frem za biashara karibu na Kambi zao ,mf lugalo mwenge
Hilo limenishangaza....somehow naiona legacy ya mwendazake. Alifanya juhudi kubwa kulitoa jeshi kambini na kulileta uraiani mfano kila alipoenda alihakikisha yupo na CDF ubavuni na kila kazi ya serikali akawapa SUMA JKT, jeshi limenogewa na maisha ya uraiani!
 
JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk

Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?

Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?

Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?

Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?

Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.

Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Sasa, ikiwa wahandisi wa jeshi kama Mzee kanali mstaafu Simbakalila ateuliwa kuwa mjumbe wa bodi NARTCO, atapata wapi muda wa kuketi na kubuni teknolojia mpya?

JWTZ tangu waunde gari la nyumbu hatujaona kifaa kingine walichobuni.

Sanasana wao wapo mbioni kubuni njia nyepesi za kutesa raia wanovaa mavazi yanofanana na ya kwao kama kuruka kichura na kulala kwenye tope.

Pathetic.
 
JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk

Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?

Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?

Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?

Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?

Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.

Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Hivi sasa wako bize kupambana na wananchi walionunua mitumba inayofanana na magwanda yao....
 
Bujibuji Simba Nyamaume kuwa na huruma hata kidogo ..

Hivi hao jamaa na yale maonesho yao ya kupasulia matofali kichwani wanaweza kuwa na ubunifu wa kutengeneza silaha? au unamaanisha silaha zao za kienyeji?
Wakati wanajitapa kuvunjia mawe kichwani wenzao wako bize wanarusha ndege zinazojiendesha zenyewe...
 
Meko hakupenda watu waliokua wakilipwa na serikali kutoa huduma jeshini,walikua wanadai mapesa mengi akaamua lijitegemee Kwa roho mbaya yake tu.
 
JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk

Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?

Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?

Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?

Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?

Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.

Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Nenda Zambia jeshi lao linamiliki mpaka milling
Kuna moja Iko mpika inaitwa mpika milling ni ya jeshi wanauza mpaka ngano
 
Chimbuko la tafiti zote za kisayansi katika nchi inayojielewa huanzia kwenye Majeshi yake, sisi kwetu hapa majeshi yetu yamejikita kwenye kunusa nani anakwenda kinyume na matamko ya Rais.

Bado tuna safari ndefu, isitukatishe tamaa.
Uko sahihi kabisa mkuu, kuanza kukimbizana na vijana kisa vinguo vya mitumba ni kupoteza mwelekeo
 
Kipaumbele chetu ni ugunduzi wa raia wenye jersey zetu....namba sita haijaja hv hv
 
Sasa, ikiwa wahandisi wa jeshi kama Mzee kanali mstaafu Simbakalila ateuliwa kuwa mjumbe wa bodi NARTCO, atapata wapo muda wa kujeti na kubuni teknolojia mpya?

JWTZ tangu waunde gari la nyumbu hatujaona kifaa kingine walichobuni.

Sanasana wao wapo mbioni kubuni njia nyepesi za kutesa raia wanovaa mavazi yanofanana na ya kwao kama kuruka kichura na kulala kwenye tope.

Pathetic.
Saa hizi wanaunda mafremu kwenye makambi ya jeshi
 
JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk

Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?

Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?

Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?

Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?

Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.

Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Fanya tafiti kidogo tu nchi zote zilizotuzunguka majeshi yao yana project kuanzia Rwanda hadi Kenya Egypt jeshi leo ndio wamiliki wa hotel kubwa kubwa SA pia Jeshi linamiliki hata hapo nchini zipo project kubwa vipo viwanda vya hawa jamaa sema uzi umeuleta kimbea flani ili upate wakosoaji kama nchi haina hizo project za utafiti taasisi yake inawezaje kuwa na taasisi za utafiti kisayansi wakati huo huo wajikite katika ulizi ?
 
Back
Top Bottom