Ushauri: JWTZ/JKT wajikite kwenye tafiti za kisayansi na teknolojia. Wabuni silaha zao wenyewe

Nimeshangaa sana jeshi kujikita kwenye biashara hadi za fremu, nchi za wenzetu majeshi yana idara za teknolojia na utafiti achilia mbali mambo ya silaha bali hata mambo mengineyo yanayohusisha sayansi na teknolojia. Nilitarajia jeshi liwe na idara iliyojikita kwenye uvumbuzi wa kiteknolojia na utafiti kwenye kilimo, mifugo, uvuvi, misitu, teknolojia za ujenzi, uchimbaji madini, gesi, mafuta, makaa ya mawe, vyombo vya moto, satellite/radar kwa ajili ya ulinzi, utafiti wa anga za juu nk.

Ili kuwezesha haya jeshi linatakiwa liwe na chuo chake cha sayansi na teknolojia ambapo watakuwa wanafundisha taaluma mbalimbali kwa vijana wenye ufaulu mkubwa ambao watakuwa recruited jeshini kuanzia kidato cha nne, kidato cha sita, na vyuo vikuu.​
 
1. Kiituo cha mafuta (JKT Suma Fuel Station)
2. Mradi wa fremu za maduka Kawe/Lugalo
3. Uuzaji wa sare za jeshi na vyeo (ranks) kwenye maduka yao (Lance coplo, coplo, sergeant, staff sergeant, Lieutenant, and captain).

Sasa wanataka kukusanya sare za kijeshi zenye kufanana na zao ijapokuwa sare za majeshi yote duniani huwa hazifanani kamwe kwa sababu zina (concealed military code) sijui wanataka kuzipeleka wapi wakati jambo la busara ilikuwa sare hizo kuteketezwa hadharani kwa usimamizi maalum na rekodi kuwekwa kimaandishi.

Ni mbaya sana kwa jeshi la wananchi kuanza mikwaruzano na raia wa nchi husika mwisho wake huwa sio mzuri
Jeshi linaloonea raia ni jeshi lililokosa ubunifu
 
Jeshi
JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk

Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?

Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?

Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?

Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?

Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.

Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
La TZ ni la sita duniani ????????

Nahis umekosea
 
Wana kiwanda cha Maji pia,lakini vilevile ni mabingwa wa kupasua vitofa kwa vichwa na kuchapana na mirunda mgongoni wakati wa sherehe za kitaifa.
 
Brand yao ya maji sijui iliishia wapi, wana hadi Pharmacy ya Wholesale Mwenge..

Jeshi na Biashara za uchuuzi..

Tusubiri tuone....
Hivi hizo pesa CAG huwa anakagua mahesabu yake au ndiyo Bakishishi ya Wakulungwa!
 
Uko sahihi mkuu,jeshi letu kuitisha press kwasababu ya nguo binafsi inanisikitisha sana...... Press ya taasisi kama jeshi letu inatakiwa waje na jambo mahususi lenye impact Kwa jamii
Kama kule Gabon na Niger au siyo![emoji1787][emoji1787]
 
Nimeshangaa sana jeshi kujikita kwenye biashara hadi za fremu, nchi za wenzetu majeshi yana idara za teknolojia na utafiti achilia mbali mambo ya silaha bali hata mambo mengineyo yanayohusisha sayansi na teknolojia. Nilitarajia jeshi liwe na idara iliyojikita kwenye uvumbuzi wa kiteknolojia na utafiti kwenye kilimo, mifugo, uvuvi, misitu, teknolojia za ujenzi, uchimbaji madini, gesi, mafuta, makaa ya mawe, vyombo vya moto, satellite/radar kwa ajili ya ulinzi, utafiti wa anga za juu nk.

Ili kuwezesha haya jeshi linatakiwa liwe na chuo chake cha sayansi na teknolojia ambapo watakuwa wanafundisha taaluma mbalimbali kwa vijana wenye ufaulu mkubwa ambao watakuwa recruited jeshini kuanzia kidato cha nne, kidato cha sita, na vyuo vikuu.​
Wao hayo hayawahusu Mkuu. Wanathamini zaidi mavazi kuliko mambo ya msingi. Yaani kwa akili zao hizo wako radhi kutetea sare na nembo zao kuliko hata lengo lao la msingi ambalo ni KULINDA MIPAKA YA NCHI IKIWEMO BANDARI, RELI, BARABARA KUU , VIWANJA VYA NDEGE n.k!

Tuna safari ndefu sana kama Taifa kuelekea nchi ya AHADI.

Halafu utashangaa wataanza kuwatafuta kina Burkinabe , Bujibuji Simba Nyamaume et al na kuwafungulia kesi za ajabu ajabu au kuwapoteza kabisa kwa sababu tu ya kuwaambia ukweli!
 
JKT wana clearing and forwarding company, wana kampunibya ulinzi, vituo vya mafuta, kampuni ya usafi , mabaa, kumbi za sherehe, na kampuni nyingine nyingi za kufyatua matofali, nk

Hivi kuna nchi gani ñyingine huko duniani ambayo jeshi lake badala ya kujikita kwenye tafiti za kisayansi na kiteknolojia inajikita kwenye biashara za kiraia?

Ugunduzi wa Internet na teknolojia nyingine nyingi umefanyika ndani ya majeshi. Sisi jeshi letu ambalo ni la sita duniani na halijawahi hata kujitengenezea kijiko cha kulia askari wake linafqnya biashara za kiraia ili ligundue nini?

Majeshi ya nchi nyingine yana vision za kusaidia nchi zao, jeshi letu hela zinazopatokana kwenye biashara zinaingia kwenye bajeti ipi wakati bajeti ya jeshi kwa asilimia 100 iko funded na serikali?

Zamani pale Kibaha kwa Mathias waliweza kubuni gari waliloliita NYUMBU. Ubunifu huo ulikomea wapi? Kwanini hamna muendelezo?

Haya yote ni matokeo ya jeshi kuwa la kisiasa zaidi badala ya kuwa taasisi inayojitegemea.

Bila kubadika jeshi letu litaendelea kujiita ni jeshi imara la sita duniani ili hali linatumia zana mtumba, teknolojia mtumba na akili mtumba.
Hawa hapa sasa!!![emoji1787]
 
Usikariri kazi moja kama mnduku elewa neno kama
 
Back
Top Bottom