Papasa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,619
- 5,780
Nilishangaa Sana walipo sema ni jeshi la sita kwa ubora na wakati sijawahi kusikia wana teknolojia yeyote ile ambayo imetokea kwao kwa ajili ya ketengeneza silaha na vifaa vingine vya kivita, na teknolojia ndio uti wa mgongo wa jeshi kwa dunia hii ya kisasa,
licha ya kufanya wanayo fanya nadhani wawekeze nguvu zaidi kwenye kwenye teknolojia na tafiti mbali kwa ajili ya kuimarisha jeshi na maisha ya wananchi kama yafanyavyo majeshi katika nchi tunazoiga kwao Kila jambo kama Marekani na china,